Mchezaji wa kimataifa wa Senegal Sadio Mané baada ya kuisadia timu yake ya taifa kufanikiwa kuchukua AFCON kwa mara ya kwanza, nchi yake wameamua kuupa jina lake uwanja ambao uko mkoa ambao anatokea.

kwa kutambua mchango wake Mayor wa Sédhiou ameamua kubadilisha jina la uwanja wa mpira uliopo Sedhiou ambao upo kwenye mji wa Bambali wakati akiwa anatangaza azma hiyo alinukuliwa akisema.

Sadio Mané, Sadio Mané Kupewa Uwanja kwa Jina Lake, Meridianbet

“Ningependa kupitia maamuzi haya kutoa jina la Sadio Mané kwenye uwanja Sédhiou, ilikuthamini mchango wake na kututambulisha watu wetu vijana wetu wa kike na kiume katika mkoa wetu, mtu ambaye ametutambulisha jimbo letu la Bambali na mkoa wetu wa Sédhiou.

“Sadio mane kiukweli anahitaji hii heshima”

Hakuna shaka kwamba anastaili heshima hiyo na kiukweli alikuwa anastahili hata kabla ya kushinda AFCON, Mane alitengeneza historia kwa miaka kwa sababu ya msaada anaotoa kwa nchi yake na sehemu ambayo anatoka kwa kujenga shule, hospitali miskiti na zaidi.


KASINO YA MTANDAONI: EMOTICOINS SABABU YA KUVUNA ZAIDI.

Haijawahi kuwa rahisi hivi kwenye safari yako ya kuvuna mkwanja, kasino maridhawa ya meridianbettz inakuletea mchezo wa Emoticoins unaokupa nafasi ya kufanya safari yako kuwa rahisi zaidi. Wakati ni wako nafasi ni yako na Emoticoins.

senegal, Senegal Mabingwa AFCON 2021., Meridianbet

CHEZA HAPA.

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa