Nyota wa kimataifa wa Misri na klabu ya Liverpool, Mohamed Salah anatarajiwa kuanza katika kikosi kitakachoikabili Crystal Palace siku ya leo.
Mchezaji huyo hakuwa sehemu ya kikosi kilichoanza dhidi ya Everton siku ya Jumapili na badala yake aliingia kama mchezaji wa akiba kutokana na kukosa mazoezi ya timu wiki iliyopita. Mchezo huo ulimalizika kwa sare ya bila kufungana.
“Salah amefanya mazoezi na wenzake jana, leo pia atafanya hivyo. Ninatarajia kumuanzisha katika mechi ijayo.” Amesema Klopp.
Jurgen Klopp alitumia nafasi hiyo kubainisha kwamba hata beki wake wa kushoto, Andy Robertson naye atakuwa katika kikosi chake dhidi ya Crystal Palace licha ya kukosa mchezo uliopita pale Goodison Park.
Kocha huyo alibainisha pia kuwa wachezaji wake wawili, Millie na Joel hawatokuwepo katika mechi hiyo na watakuwa nje ya uwanja kwa muda usiojulikana.
Wakati huo huo, ikumbukwe kwamba mechi ya Liverpool itakayofuata mara baada ya kuwakabili Crystal Palace ni dhidi ya Manchester City. Mpaka sasa bado haijaamliwa juu ya ni wapi mechi hiyo itachezwa lakini Klopp anaona ni bora ipigwe Etihad Stadium, dimba la nyumbani la Manchester City.
Mechi hiyo itakua ni mechi muhimu kwa Liverpool katika harakati zao za kutaka kubeba ubingwa walioukosa kwa miaka 30 sasa.


warda
Naombea wafugwe tu ata kama wakichukua ubigwa#Meridianbettz ha haaaa Adui mwombee njaa
Zeiyana
Unaweza ukamuita mshambuliaji wa Liverpool mo salah..!sijui kama watatoka leo crystal palace
Elika
Namuaminia sana mo salaaa
Caroline
All the best Sallah Mohamed
felister
kila la kheri Mo Sallah
Luck
Asante kwa taarifa
Johnmary joel
Kila raheri mohamed salaha#meridianbett
Salma
Wakaze Liverpool lengo lao litimie
Antony Luseno
Kuanza kwake kutaipa liver point tatu
Rehema
Kazeni sn buti Liverpool ili malengo yao yatimie
Amani
Itakuwa afadhali kwa Liverpool maana wanaitaji ushindi kujiakikishia ubingwa mo Sarah atawapa matumaini ya asilimia % pia maono yangu leo Sarah anatupia goli mbili#meridianbettz
Evaluziga
Wakaze Liverpool lengo lao litimie
Samiah
Leo ushindi km kawaida
Dorophina
Ajitahidi salah wahakikishe ubingwa wao
David Pere
Leo laz
David Pere
Leo lazma Liverpool washinde ili wajihakikishie ubingwa
Isaya massawe
Ubingwa kwa Liverpool msimu huu ni lazima maana ashaukaribia
warda
Kila lakheri Mo Salah na Liverpool katika mechi hii#meridianbettz
Sadick
Kila lakheri Mo Salah na Liverpool katika mechi hii#meridianbettz
Ester jackson
Itakuwa vinzuri sana akiongeza nguvu katika mechi mana Liverpool hawajapata ubigwa mda mrefu sio mbaya kama watapata
Devotha
Wish you all the best Mohamed Salah have a good match
Gabriel
Kiukwel mechi iliyopita Liverpool dhidi ya Everton Kuna kitu kilikosekana maana
tulitaman mbembwe za mo Salah akiwa
anasumbua uwanjan hatukuona uwondo huo ila tunayofuraha kupitia meridianbet makala kutupasha habar njema sana kuhusu kurud kwa Mohammed Salah uwanjan kukabiliana mechi yao dhid ya
Crystal palace leo hii maana tunatambua kuwa Liverpool ndo wababe wa EPL hivyo kuona ikicheza chin ya kiwango ata mashabiki tunakuwa tunamisi uhondo sana hivyo tunashukuru sana
Meridianbet Tanzania kwa taarifa nzur za michezo
Hv a good news 👍
Tahiya
Point 3 muhimu ndio jambo wanalotak mashabiki wa Liverpool
Hamidu
Mo sahal fundi wa mpira..leo Liverpool ushindi muhimu maana wakishinda Leo wanakaribia kuwa mabingwa 2019/2020 #meridianbettz
Magdalena
Salah mwenye balaa lake LA mpira sijui kama atakubali makosa yaliyotokea zidi ya everton yajirudie lazima arudishe heshima ya timu Tena kwa kishindo
Kila LA kheri I’ll never Walk alone
tumaini
Maoni:leo ushindi kama maji na mgonjwa
Leticia
Leo Liverpool lazima washinde
isha
Hahaha mo salaah naipenda sana liverpool napia nakupenda sana na wewe mwenyewe duuh na ubigwa wetu oyoooooooo
Issa
Sarah ni mzuri sana ingawaje msimu huu ayupo poa sana kwa mechi ya leo inabidi cryste palace wamchunge sana
Povel
Don’t miss 22:15 Pm mo SALAH(farao) & will ZAHA(elephant tembo🐘🐘🐘)
Mariam mtandama
Safi
Angelina
Salah atafanya vizuri namuamini
farida ahmadi
Jembe huyo namsubiri vzr tyuu najua hatakipiga vzr leo hatutatoka sare leo lazima tuendelee kushika nafasi ya kwnz
Shafii
Crystal palace inapaswa wawe makini Sana maana Salah kapumzika vya kutosha wasipo kua makini nae atawafanya kitu mbaya
Ester mmakasa
Mungu saidia Liverpool ifanye vizuri ili wachukue ubingwa.
Hope mwaikuka
Go Salah tulikumc sana
Njiku
Mechi hiyo kloop atapanga majeshi yake kwa ajiri ya maangamizi hawezi kuachwa mtu salam mchawi wa liver ni arama 3 ili kujiakikishia ubingwa
Omary lukumbi
Uwepo wa mo salah ni kuongeza makali safu ya ushambuliaji
Ernest
Mbona bado kuna habari kuwa Mo Salah ni majeruhi na sio rahisi kwa yeye kucheza leo??
Amiri Kayera
Ana baya namkubar
Sabrina
Maoni:Licha ya kua mechi dhidi ya Evarton Mo sarah alipangwa kikosi cha pili kwa kuwa hakufanya mazoezi klopp atampanga Mo Sarah kikos cha kwanza dhidi ya Crystal palace Sarah atafanya vizur inabidi crystal palace inabidi wajipange
Mwajuma
Wakaze liverpool yasiwe mambo kama yajumapili
Latifa juma mohamed
All the best king salah , nakuaminia Sana upo juujuu.
fatumakasom
Liverpool msimu huu lazima maana ishakaribia
mwakalosi
mo alikuwa na msimu mzuri sana kabla ha hili janga
mwakalosi
kbla ya corona mo alikuwa wa moto sana lakini sasa kawa wabaridi
Samira
Kila lakheli mo salah
Agness
Asante kwa makala nzuri meridani
Rehema
Liverpool ushindi ni lazima mo kaza buti baba
christopher
ameanza na tumeona matunda yake hapo jana, Bado mechi moja au mbili tu wajichukulie ubigwa
Khadija
Livepool ushind ni lazim kazen but#meridianbettz
Lydia Emmanuel Magoti
Hameanza natumeona matunda yake hapo Jana bado mechi kazaa wajichukulie ubingwa waho
Emmy cleopa
Ahsante kwa taarifa
neema hassan
Salah jembe
Adelta
Mo saalaah Yuko vizuri
Furahav
Salah ni mchezaji bora sana.
Theonestina
Sallah jeshi
nasra
Salah kiungo
Asia Abdy
Naikubal Liverpool
Mwanahamisi
Sallah jembe