Winga wa klabu ya Manchester United Jadon Sancho inaelezwa atatumika kama sehemu ya dili la kumpata kiungo wa klabu ya PSG Manuel Ugarte ambaye amekua akiviziwa na klabu siku za karibuni.
Klabu ya Manchester United ipo kwenye mazungumzo na klabu ya PSG kwa muda wa mwezi sasa kwajili ya kupata saini ya kiungo Manuel Ugarte, Ambapo dili hilo linaelezwa kuchelewa kutokana na PSG kuhitaji hela nyingi ambazo klabu ya Man United haipo tayari kuzitoa.Kwakua klabu ya PSG ilionesha nia ya kumuhitaji winga Jadon Sancho inaelezwa Man United wanataka kuitumia hiyo nafasi kuwashawishi PSG kumuachia Ugarte kwa mabadilishano na winga huyo wa kimataifa wa Ungereza ambaye klabu hiyo ipo tayari kumuachia katika dirisha hili la majira ya joto.
Vilabu vya Manchester United na PSG vinaelezwa viko karibu kufikia makubaliano ya kumaliza dili la Manuel Ugarte kujiunga na Man United, Huku Sancho akielezwa kuhusika kukamilisha dili hili hio ni wazi dili la Ugarte kujiunga na Man United inaweza kurahisisha safari ya Jadon kujiunga na PSG.
This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.
Strictly Necessary Cookies
Strictly Necessary Cookie should be enabled at all times so that we can save your preferences for cookie settings.
If you disable this cookie, we will not be able to save your preferences. This means that every time you visit this website you will need to enable or disable cookies again.