Santiago Bernabeu Kupigwa Kombe la Dunia 2030

Uwanja wa klabu ya Real Madrid Santiago Bernabeu unatajwa kama moja ya viwanja vitakavyotumika katika michuano ya kombe la dunia itakayopigwa nchini Hispania mwaka 2030.

Hispania ni miongoni mwa mataifa matatu ambayo yameshinda kinyang’anyiro cha kuandaa michuano ya kombe la dunia mwaka 2030 wakishirikiana na mataifa ya Ureno na Morocco.santiago bernabeuKiwanja cha Santiago Bernabeu inaelezwa ni moja ya viwanja ambavyo vinapatikana nchini Hispania ambavyo vitatumika katika michezo mbalimbali ambayo itapigwa katika michuano hiyo ya kombe la dunia miaka saba mbele.

Kombe la dunia mwaka 2030 ni michuano ambayo itakuja kitofauti kwani licha ya kuandaliwa na nchini tatu tofauti, Lakini itaweza kupigwa katika mabara matatu tofauti ambayo ni Ulaya, Afrika, na Amerika ya Kusini.santiago bernabeuSantiago Bernabeu imekua rahisi kuingia kwenye moja ya viwanja ambavyo vitatumika katika michezo ya kombe la dunia mwaka 2030 kutokana na ubora ambao uwanja umekua nao, Hasa kipindi hichi ambacho uwanja huo umefanyiwa marekebisho makubwa zaidi.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.