Simba imewasili leo Juni 4 kwa ndege ikitokea Mwanza huku uongozi wa timu hiyo ukiwapa wachezaji wake mapumziko ya siku nne.

simba

Ni baadhi ya wachezaji tu ndio waliopanda basi la timu hiyo lililokuja uwanja hapo kuwapokea huku wengi wakiondoka kwa kutumia usafiri binafsi.

Meneja wa Simba, Patrick Rweyemamu amesema: “Wachezaji wamepewa mapumziko hadi Juni 8 watakaporejea mazoezini kujiandaa na mechi zilizobaki za Ligi Kuu Bara”.

simba, Simba Kurejea Kambini Juni 8, Meridianbet
Patrick Rweyemamu

Simba itacheza Juni 19 na Polisi Tanzania kwenye Uwanja wa CCM Kirumba ambapo Polisi wameamua kuutumia uwanja huo badala ya Ushirika uliopo Moshi.


MAANA KAMILI YA USHINDI KATIKA KASINO ZA MERIDIANBETI NI PAMOJA NA MCHEZO WA PANDA PANDA.

Hii ndiyo burudani yenye ushindi! Ingia kwenye kasino ya Meridianbet kufukuzia ushindi huu. Cheza sasa Panda Panda na uwe moja ya washindi na Mabingwa.

Gomes, Gomes : Sitafanya Usajili wa Kutisha., Meridianbet

CHEZA HAPA

3 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa