Tetesi zinasema, kiungo wa kati wa Aston Villa na England Jack Grealish, 25, huenda akasalia katika klabu hiyo msimu huu wa joto, baada ya Manchester City na Manchester United kushindwa kufikia bei ya Villa ya £130m.

Tetesi zinasema Andrea Pirlo na kocha wa zamani wa Chelsea Maurizio Sarri wanawania nafasi ya ukufunzi katika klabu ya Everton.

Kiungo wa kati wa Manchester City na Brazil Fernandinho, 36, na mshambuliaji wa Newcastle na England Andy Carroll, 32, wamejumuishwa katika orodha ya klabu zao za wachezaji watakaoondoka ambayo ilichapishwa na Ligi ya Primia. Hata hivyo klabu zina hadi tarehe 23 Juni kutuma orodha zao mwisho.

 

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

Tetesi zinasema Manchester City, wanakaribia kumsajili kiungo wa kati wa Fluminense Metinho,18, ambaye anafahamika kama Paul Pogba wa Brazil.

Chelsea hawajapinga uwezekano wa kumuuza winga wa Morocco Hakim Ziyech msimu huu wa joto huku AC Milan na Napoli zikionesha nia ya kutaka kumnunua kiungo huyo aliye na miaka 28 nafasi ikitolewa.

Paris St-Germain wanapania kukatiza mpango wa Barcelona wa kumnunua kiungo wa kati wa Uholanzi Georginio Wijnaldum, 30, ambaye mkataba wake Liverpool unamalizika mwisho wa mwezi huu wa Juni.

Tetesi zinsema Everton na West Ham wanamtaka mshambuliaji wa Lazio na Argentina Joaquin Correa, 26, baada ya klabu hiyo ya Italia kuonesha ishara ya ya kumuuza kwa karibu £30m ili waweza kufadhi mpango wa kuwasajili wachezaji wapya.

 

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

Liverpool wanataka kumuuza kiungo wa kati wa Serbia Marko Grujic msimu huu. Hertha Berlin, ambako mchezzaji huyo alikuwa kwa mkopo kati ya mwaka 2018 na 2020, isasa wanataka kumnunua baada ya bei yake kushuka hadi euro milioni 14 (£12m).

Kiungo wa kati wa Barcelona na Bosnia Miralem Pjanic, 31, huenda akajiunga tena na Juventus msimu huu wa joto baada ya kufanya kujadiliana na Massimiliano Allegri, ambaye anatarajiwa kuchukua usukani baada ya Andrea Pirlo kupigwa kalamu.


MAANA KAMILI YA USHINDI KATIKA KASINO ZA MERIDIANBETI NI PAMOJA NA MCHEZO WA PANDA PANDA.

Hii ndiyo burudani yenye ushindi! Ingia kwenye kasino ya Meridianbet kufukuzia ushindi huu. Cheza sasa Panda Panda na uwe moja ya washindi na Mabingwa.

Gomes, Gomes : Sitafanya Usajili wa Kutisha., Meridianbet

CHEZA HAPA

2 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa