Pengine Juni 1 2022 ikawa ni siku ya historia kwenye ulimwengu wa soka. Orodha ya wachezaji nyota wanaomaliza mikataba inaongezeka. Raheem Sterling kufanya maamuzi.

Sterling anamaliza mkataba wake na Manchester City mwishoni mwa msimu huu. Pamoja nae ni nahodha wa klabu hiyo, Fernandinho ambaye, tayari ameshatangaza kuondoka klabuni hapo baada ya msimu huu.

Sterling, Sterling Kuamua Mwisho Wa Msimu., Meridianbet
Nahodha wa Manchester City, Fernandinho

Kuhusu Raheem, bado hakijaeleweka wazi kama ataondoka baada ya mkataba wake kuisha au, ataendelea kubaki klabuni hapo kwa kusaini mkataba mpya. Kwa mujibu wa Raheem, anafurahia kuwepo klabuni hapo kwa sasa na, hana haraka ya kuongelea suala la mkataba wake mpaka mkataba huu utakapoisha.

Sterling, Gabriel Jesus na Riyad Mahrez wanahusishwa na kuondoka Etihad mwishoni mwa msimu huu ikiwa ni pamoja na Fernandinho ambaye ameshaweka wazi kuhusu hilo.


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa