Tetesi za Soka Barani Ulaya.


 

Tetesi zinasema Manchester City inakaribia kumsaini ‘Messi mdogo’ Dario Sarmiento. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 17 winga wa Argentina anaichezea klabu ya Estudiantes katika ligi ya nchi hiyo.

Meneja wa klabu ya Fernabahce Erol Bulut amesema kwamba hali kuhusu uwezekano wa klabu hiyo kumsaini kiungo wa Arsenal na Ujerumani Mesut Ozil 32 itakuwa wazi katika siku chache zijazo.

Mkufunzi wa Newcastle Steve Bruce anataka Newcastle kuwasaini wachezaji watatu wa England wanaochezea Man United kwa mkopo mwezi huu na amezungumza kwa muda mrefu na klabu yake ya zamani kuhusu winga Brandon Williams, 20, beki Phil Jones, 28, na kiungo wa kati Jesse Lingard, 28.

 

 

 

Tetesi zinasema Newcastle pia imewasilisna na Monaco kuhusu beki wa Ufaransa Djibril Sidibe, 28 aliyewahi kukipiga Everton kwa mkopo.

Mkufunzi wa Burnley Sean Dyche ametaka chanjo ya corona kuharakishwa katika soka huku fedha zinazohifadhiwa kuwapima wachezaji zikiepelekwa katika idara ya afya.

Tetesi zinasema Kiungo wa kati wa Man United na Uholanzi Donny van de Beek huenda akaondoka kulingana na mshambuliaji wa zamani wa klabu hiyo Dimitar Berbatov.

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 23 ameanzishwa katika mechi mbili za ligi msimu huu baada ya kusainiwa kwa dau la £35m mwezi Septemba.

 

Ole Gunnar Solskjaer: Donny van de Beek Ataonesha Ubora Wake United

Kipa wa Man United na Argentina Sergio Romero, 33, anatarajiwa kurudi katika klabu hiyo wiki ijayo huku mazungumzo kuhusu hatma yake yakiendelea.

Mmiliki wa Chelsea Roman Abramovich ametoa baadhi ya vyumba vya hoteli ya Stamford Bridge kwa wafanyakazi wa Afya NHS kwa mara nyengine.

Tetesi zinasema Mkufunzi wa Watford Xisco Munoz ameambia wachezaji wake kucheza kama wanyama wakati wa mechi ya FA dhidi ya Manchester United.


JIUNGE NA FAMILIA YA MERIDIANBET BURE!!!!

Ndio, kwetu Mteja ni mfalme. Jiunge sasa na familia ya Meridianbet bila malipo yeyote na sisi tutakuzawadia bonasi ya shilingi 3,500 kama sehemu ya kukukaribisha kwenye familia hii BURE!!!. Unasubiri nini??

BOFYA HAPA

19 Komentara

    Mambo yametaradi🔥🔥🔥🔥

    Jibu

    Mkufunzi wa Newcastle Steve Bruce anataka Newcastle kuwasaini wachezaji watatu wa England wanaochezea Man United kwa mkopo mwezi huu na amezungumza kwa muda mrefu na klabu yake ya zamani kuhusu winga Brandon Williams, 20, beki Phil Jones, 28, na kiungo wa kati Jesse Lingard, 28.

    Jibu

    Tetesi zinazidi kunoga kuhusu mess mdogo

    Jibu

    Tetesi bomba meridianbet

    Jibu

    Uyo Messi mdogo anaetaka kusajiliwa na man City inaonekana ni balaa

    Jibu

    Roman kafanya ktu sana

    Jibu

    Tetesi zipo poa

    Jibu

    Nice upadate 👍

    Jibu

    Tetesi 🔥🔥

    Jibu

    Tetesi ziko vizuri

    Jibu

    Asante kwa taarifa

    Jibu

    Tetesi nimezielewa

    Jibu

    Asante kwa taarifa

    Jibu

    Ni bora Messi mdogo kwenda city

    Jibu

    Asante kwa taarifa

    Jibu

    Tetesi ziko poa

    Jibu

    Nice update

    Jibu

    Tetesi za messi mdogo ziko powa

    Jibu

    Good news

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.