Klabu ya Borussia Dortmund imetoa tamko kuhusu tetesi za usajili wa Julian Brandt. Arsenal wanahusishwa na mchezaji huyo.
Brandt (miaka 24) anahusishwa kutimkia EPL mwezi huu ingawa bado anamkataba na klabu ya Borussia Dortmund mpaka 2024.
Mkurugenzi wa michezo wa klabu hiyo – Michael Zorc amenukuliwa akisema “sitaki kujibu tetesi za usajili zilizotengenezwa na vyombo vya habari. Mpaka sasa, Brandt ni mchezaji wetu na hatuna mpango wa kuachana nae.

“Kwa ujumla, tunaangalia mambo mengi hasa uchumi ambapo hali sio nzuri kwa sasa kutokana na janga la COVID19.
“Lakini ninaweza kusema tena, hakuna ofa iliyotufikia mpaka sasa.” aliwaambia waandishi wa habari.
Ndio, kwetu Mteja ni mfalme. Jiunge sasa na familia ya Meridianbet bila malipo yeyote na sisi tutakuzawadia bonasi ya shilingi 3,500 kama sehemu ya kukukaribisha kwenye familia hii BURE!!!. Unasubiri nini??



Shakila mrope
Asante kwa taarifa meridian bett pesa njenje
Adelta
Brandt haendi popote hadi mkataba wake uishe
David Pere
Brandt anahusishwa kutimkia EPL mwezi huu ingawa bado anamkataba na klabu ya Borussia Dortmund mpaka 2024.
Sania
Brandt jembe
Magdalena
Dogo asikimbie kwa kukurupuka aangalie kwanza
Hopemwaikuka
Imeeleweka sana
Lydia Emmanuel Magoti
Yupo vizuri
Gabriel
Habari njema
Sabrina
Brant jeshi
Sarah
Brant Yuko poa
farida ahmad
Safii
Rahmal
Brant Yuko vizuli
Mwanahamisi
Brant baba lao
Dorophina
Kumbe mkataba haujaisha mbona waandishi wanazusha tu
Caroline
Waandishi wanataka tu kuuza habari zao.
lombo
saf
Angelina
Goodupdate
aisha
Mbona kijana yuko vizuri
Issa
Dortmund i.etimia
warda
Mie napita tu