Tetesi za Soka Barani Ulaya.

 

Tetesi zinasema, Real Madrid watamuuza kiungo wao wa kati Eden Hazard, mwenye umri wa miaka 30, ili kupata pesa kwa ajili ya mshambuliaji wa Liverpool, Mohamed Salah, 29.

Newcastle United wanamsaka mshambuliaji wa Borussia Dortmund Erling Braut Haaland, huku Real Madrid, Manchester City na Paris St-Germain pia wakimtaka mchezaji huyo wa kimataifa wa Norway.

Tetesi zinasema, Manchester United imetenga kiasi cha pauni milini 70 kwa ajili ya dirisha lijalo la uhamisho, ambazo zitatumika ilimradi wanahisi kuwa wanaweza kupata taji la Primia Ligi.

 

Tetesi zinasema, Mshambuliaji wa Real Madrid Mserbia Luka Jovic, 23, anatarajiwa kuchukua nafasi ya mshambuliaji Mfaransa Alexandre Lacazette, 30, katika Arsenal.

Kiungo wa kati wa zamani wa Arsenal Jack Wilshere, 29, amemshauri mlinzi wa England Declan Rice, 22, akatae ofa za uhamisho kutoka Manchester United na Chelsea na aendelee kubakia West Ham.

Tetesi zinasema, Kiungo wa kati wa Arsenal na nahodha wa Norway Martin Odegaard, mwenye umri wa miaka 22, yuko tayari kupokea wazo la kurejea katika klabu ya Real Sociedad.

Wakala wa Robert Lewandowski anasema kuwa Manchester City ndio timu anayoweza kuhamia mshambuliaji huyo wa Poland na Bayern Munich mwenye umri wa mika 33, siku zijazo.

 

Sevilla Wanataka €80 million kwa Kounde.

Mlinzi wa klabu ya Sevilla Jules Kounde amemuomba wakala wake kufanya mazungumzo na Manchester United, huku mchezaji huyu wa kimataifa wa Ufaransa mwenye umri wa miaka 22 pia akilengwa klabu za Chelsea na Real Madrid.

Liverpool wamejiunga katika mbio za kumsaka mshambuliaji wa Club Brugges ana Uholanzi mwenye umri wa miaka 22, Noa Lang sambamba na Arsenal na Leeds.

Mchezaji wa safu ya ulinzi wa Chelsea na Ujerumani Antonio Rudiger, mwenye umri wa miaka 28, anataka malipo ya pauni 400,000 kwa wiki ili asaini mkataba moya katika Stamford Bridge.


PIGA MKWANJA NA LA ROUGE

Fanya wiki yako iwe ya kuvutia zaidi, tunaelekea Los Angeles kutengeneza mkwanja na kasino maridhawa ya LA Rouge kutoka katika kasino za mtandaoni za meridianbettz, Fursa ya kufurahi huku unajaza pochi yako.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.