Tetesi zinasema, Newcastle United wanataka kumsajili mlinzi wa Ujerumani Antonio Rudiger wakati mkataba wa kiungo huyo wa Chelsea wa miaka 29-utakapomalizika mwisho wa msimu huu.
Arsenal huenda wakajaribu kumsajili tena winga wa Ujerumani Serge Gnabry kutoka Bayern Munich, huku thamani ya kiungo huyo wa miaka 26 – aliyekuwa na Gunners kwa miaka minne – ikikadiriwa kuwa £63m.

Tetesi zinasema, Mshambuliaji wa Borussia Dortmund wa miaka 21- Mnorway Erling Braut Haaland anataka kujiunga na Barcelona msimu huu wa joto.
Mshambuliaji wa Uingereza Harry Kane, 28, amewaambia wachezaji wenzake kwamba atasalia Tottenham msimu ujao ikiwa watafuzu kucheza Ligi ya Mabingwa na Antonio Conte atabaki kama kocha.
Tetesi zinasema, Tottenham wanajiandaa kupokea maombi ya kumununua mlinzi wa miaka 23- Mbrazil Emerson Royal, chini ya mwaka mmoja baada ya kumnunua kwa £26m kutoka Barcelona.
Tetesi zinasema, Paris St-Germain na Chelsea wanataka kumsaini wingi wa Manchester City na Algeria Riyad Mahrez, 31.

Tetesi zinasema, RB Leipzig wamejiunga na mbio za kumsaka mlinzi wa Real Madrid mwenye umri wa miaka 19 Mhispania Rafa Marin.
Manchester United watalazimika kulipa hadi euro milioni 80 (£66m) kumsajili kiungo wa kati wa Serbia Sergej Milinkovic-Savic, 27, kutoka Lazio kuchukua nafasi ya kiungo wa kati wa Ufaransa Paul Pogba, 28.
Tetesi zinasema, winga wa zamani wa Arsenal Perry Groves anasema Gunners wanatakiwa kumsajili mshambuliaji wa Everton na Uingereza Dominic Calvert-Lewin, 24, mwisho wa msimu.
Mchongo mpya mjini ni Shindano la Evoplay Spring Aweking katika kasino maridhawa za meridianbettz. Pata mgao wako wa TSh 25,000,000 katika michezo kibao ya kasino na sloti ziliyochaguliwa kushiriki.


