Kyrie Irving Aiokoa Brooklyn Nets

Baada ya kuambulia kipigo kwenye michezo 4 mfululizo, Brookyn Nets imezinduka kwenye mchezo wa 5. Kyrie Irving ajiwekea rekodi yake binafsi.

Kwa mara ya 3 kwenye maisha yake ya kucheza kikapu ( na mara kwa kwanza akiwa na Nets), Kyrie Irving amepachika pointi 50 kwenye mchezo mmoja. Hii ni baada ya kuisaidia Nets kupata ushindi wa pointi 132-121 dhidi ya Charlotte Hornets.

Huu ni msimu ambao Irving amecheza michezo michache ikiwa ni matokeo ya maamuzi yake ya kukataa kupewa chanjo ya COVID-19. Pamoja na hilo, mchezaji huyo alipachika jumla ya mipira 9 kati ya 12 ya 3-pointers.

Kyrie Irving

Kwingineko kwenye NBA, Milwaukee Bucks wameendelea kuwa kwenye kiwango bora baada ya kupata ushindi wa 5 mfululizo. Giannis Antentokoumpo alipachika pointi 39 na kuisaidia Bucks kuibuka kidedea kwa pointi 142-115  dhidi ya Oklahoma City Thunder.

Warriors wameshinda 112-97 dhidi ya Clippers. Suns wamewafunga Magic kwa pointi  102-99 na Grizzlies wakishinda kwa pointi 132-111 dhidi ya Pelicans.


VUNA MKWANJA NA SHINDANO LA EVOPLAY SPRING AWEKING

Mchongo mpya mjini ni Shindano la Evoplay Spring Aweking katika kasino maridhawa za meridianbettz. Pata mgao wako wa TSh 25,000,000  katika michezo kibao ya kasino na sloti ziliyochaguliwa kushiriki.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

SOMA ZAIDI HAPA

Acha ujumbe