Tetesi zinasema, Kylian Mbappe anakaribia kuongeza mkataba wake kwa miaka miwili na mabingwa wa Ufaransa PSG utaogharimu £42.5m kila mwaka Pamoja na malipo ya £85m ya kumsajili mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 23 anayeichezea Ufaransa.

Mkufunzi Pep Guardiola atatia saini mkataba mpya na klabu ya Manchester City ili kusalia katika uwanja wa Etihad hadi 2025 baada ya kukosa kombe la klabu bingwa Ulaya.

 

Man City Guardiola

Tetesi zinasema, Man City inafikiria kumnunua kiungo wa kati wa Uholanzi Frenkie de Jong, 25, ili kuimarisha klabu hiyo msimu ujao.

Maafisa wa Tottenham waliwafuatilia wachezaji wawili wa Villarreal, Pau Torres na Arnaut Danjuma katika mechi yao ya nusu fainali waliopoteza siku ya Jumanne.

Mshambuliaji wa Napoli na Nigeria, 23 Victor Osimhen anasema kwamba angependelea kujiunga na Arsenal badala ya manchester United au Newcastle.

Mchezaji anayelengwa na klabu za Arsenal na Manchester United Paolo Dybala amepata ofa ya kujiunga na klabu ya Borussia Dortmund wakati mkataba wake utakapo kamilika.

 

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

 

Tetesi zinasema, Mchezaji Marcus Alonso aliyeichezea klabu ya Chelsea kwa kipindi cha miaka sita ataondoka klabu hiyo mwisho wa msimu huu.

Tetesi zinasema, Beki wa kati wa Italy Giorgio Chiellini, 37, ataelekea kujiunga na ligi ya marekani ya MLS wakati atakapoondoka Juventus mwisho wa msimu huu.


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa