Tetesi za Soka Barani Ulaya.


Tetesi zinasema Manchester United imeanza mazungumzo na Barcelona kuhusu kumnyakua kwa mkopo mshambuliaji Mfaransa Ousmane Dembele 23.

Tottenham wamemaliza makubaliano ya kumsajili mshambuliaji wa Benfica Carlos Vinicius,25, kwa mkopo, ambaye gharama ya kuondoka kwake ni kiasi cha pauni milioni 89 kwa mujibu wa kufungu cha mkataba wake.

Tetesi zinasema wakala wa mshambuliaji wa Real Madrid Luka Jovic,22, amesema raia huyo wa Serbia anataka kujiunga na Manchester United, huku inter Milan na Roma zikimtolea macho pia.

 

Tetesi za Soka Barani Ulaya.
 

Tetesi zinasema Liverpool wanajiandaa kukubali ofa ya pauni milioni 23 kutoka Sheffield kwa ajili ya mshambuliaji Rhian Brewster.

Manchester United wamekataa kuhusishwa kwao na taarifa za kumsajili Ainsley Maitland-Niles,23, ambaye anaweza kucheza nafasi ya ulinzi na kiungo wa kati kutoka Arsenal.

Tetesi zinasema Arsenal wako kwenye mazungumzo ya kumtoa kwa mkopo kiungo wao wa kati Matteo Guendouzi kwenda Marseille.

 

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Chelsea inaweza kuongeza wachezaji wa kuondoka kwenye klabu hiyo kwa kumuuza mlinzi Mhispania Marcos Alsonso, 29, beki wa kati Antonio Rudiger, 27, na kiungo wa kati Ruben Loftus-Cheek, 24 kabla ya kufungwa kwa dirisha la usajili.

Newcastle United wanajiandaa kupambana na Valencia katika mbio za kumsajili mlinzi wa Juventus Daniele Rugani ambaye pia anahusishwa na taarifa za kutakiwa na Fulham, West Ham na Sevilla.

Arsenal wameongeza jitihada za kumshawishi kiungo wa kati anayekipiga Lyon Houssem Aouar,22, huku rais wa klabu Jean- Michel Aulas akikiri kuwa wanaweza ”kuwapoteza wachezaji wawili” kabla ya muda wa mwisho.

 

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Ofa ya hivi karibuni ya Roma kwa beki wa kati wa Manchester United Chris Smalling ya pauni milioni 10.9 pamoja na marupurupu mengine ya thamani ya pauni milioni 2.7 inafikiliwa na klabu hiyo ya Old Trafford.

Tetesi zinasema Aston villa wako mbioni kumsaini beki wa kati Kerr Smith ,15, kutoka Dundee United.


Beti kwa Kitochi Kushinda 300,000,000!

Unajua kuwa unaweza kushinda milioni mia tatu kwa buku tu? Ndiyo! Unaweza kushinda kwa kupiga *149*10# na kubashiri. Ingia mchezoni!

Soma Zaidi

37 Komentara

    united naona wanataka kuunda kikosi kizuri kwa ajili ya msimu huu maana wameanza kuchukua wachezaji wenye viwango vizuri

    Jibu

    Hii makala imekaa vizuri inatuonyesha jinsi vikosi vipya vinaanza

    Jibu

    Man u kwa msimu huu nadhani watakuwa vizuri sana

    Jibu

    Iko poa

    Jibu

    Gud news

    Jibu

    Man u bado wanapambana tu na wachezaji wa barca

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Goodupdate

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Chelsea naona bado wanataka kuongeza vifaa lampard bado ajalizika

    Jibu

    Good

    Jibu

    Asante kwa taarifa

    Jibu

    Habari nzuri

    Jibu

    Man u ikimpata ndembele itakuwa balaa

    Jibu

    Iko poa

    Jibu

    Man U naona ngoma ngumu kwa Sancho

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Habari nzuri

    Jibu

    Man u mnakwama wapi jamani mbona ivyo

    Jibu

    Gud news

    Jibu

    Inapendeza

    Jibu

    Vizur

    Jibu

    Iko poa sana

    Jibu

    Good news

    Jibu

    Safiiii

    Jibu

    man u naona wamechemka kwa sancho

    Jibu

    Dembele abaki tu Barcelona sababu kule hachezi na ana majeraha makubwa Manchester atakuja kufanya nn?

    Jibu

    Man u ikimpata dembe uyo Sancho atutomuwaza

    Jibu

    Dembele abaki tu Barcelona sababu kule hachezi na ana majeraha makubwa Manchester atakuja kufanya nn?

    Jibu

    Taarifa ziko poa

    Jibu

    Arsenal juudi zao zote kuinasa sain ya Aouar

    Jibu

    Ni njema

    Jibu

    Nice update

    Jibu

    Man ikimchukua dembele itakua imefanywa safi

    Jibu

    Nice update 👍

    Jibu

    Nice

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.