Tyson Fury: Wilder Mwenye Njaa ni Hatari

Tyson Fury ana wasi wasi kuwa Deontay Wilder atakuwa mtu hatari zaidi katika pambano lao lijalo kuliko pambano lililopita kutokana na uhalisia kuwa atakuwa na njaa zaidi ya ushindi.

Hata hivyo, Tyson anamuonya Deontay Wilder kuwa wakati huu hakutakuwa na masihala, anatambua kuwa Wilder atakuwa anajaribu kuthibitisha thamani yake katika pambano hilo lakini Tyson anasema yeye atamzima kwa ‘Konde Moja’ tu!

Pambano la kwanza liliwashuhudia wababe hawa wakitoa sare, huku pambano la pili likimuacha Wilder akitawaliwa na kupokonywa ubingwa mwezi Februari.

Tyson Fury: Wilder Mwenye Njaa ni Hatari

Bado atakuwa ni mpinzani hatari anayekuja ndani pale kuthibitisha thamani yake, kuwa anaweza kurejea na kuwa bingwa mara mbili wa Heavyweight. Kwakweli, ni hatari kuliko pambano la kwanza.”

Kutokana na changamoto za janga la Corona, mechi ya tatu ya watata hawa inatazamiwa uwezekano wa kufanyika nje ya Marekani na Uingereza. Fury anasema yupo tayari kuingia uligoni popote itakapokuwa.

43 Komentara

    Wilder hatoweza kukubali coz atajitahid kutetea ubingwa wake aliopoteza mchezo

    Jibu

    Wilder should win this time #meridianbettz

    Jibu

    💪💪

    Jibu

    Ngumi jiwe#meridianbettz

    Jibu

    Hili pambano ni hatari

    Jibu

    the last to stand is a winner hii ndio kauli mbiu ya boxer

    Jibu

    Tunasubiri kwa hamu kuona mpambano#meridianbettz

    Jibu

    Bondia makini sana huyu

    Jibu

    Kitawaka

    Jibu

    Hilo pambano tunalisubiri sanaa hata likiligwa saa name usku lazima watu waliangalie

    Jibu

    Hili pambano no hatari

    Jibu

    Hili pambano si lakukosa

    Jibu

    Pambano la kukata na shoka

    Jibu

    Tyson ataweza kweli?

    Jibu

    Tunaisubiri kwa hamu zote kuona huu mtanange

    Jibu

    Wilder pambano la mwisho nahic alionewa sana coz kama hakua poa ukilinganishwa na pambano lake la Kwanza na Tyson alivyompiga hivyo basi Kama wakirudina tena Tyson anapigwa

    Jibu

    Wilder kwa fury bado sana hamwezi

    Jibu

    Sio ya kukosa hii

    Jibu

    Wilder yupo vzr sana

    Jibu

    pambano sio poa

    Jibu

    Mpambano mkali

    Jibu

    Pambano la kukata na mundu

    Jibu

    Duuh Hili pambano hatari

    Jibu

    Pambano la kibabe

    Jibu

    💪💪🕙

    Jibu

    Meridianbet mko vizur kwa taarifa

    Jibu

    Kukata tamaa nizamu ya uwoga Tyson..!ondoa of

    Jibu

    Hili pambano noma sana..

    Jibu

    Pambano la kikubwa

    Jibu

    Wilder hawezi kukubali walimuonea

    Jibu

    Pambano kali sana

    Jibu

    Team Fury

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    pambano la kibabe

    Jibu

    Pambanoo babu kubwaaa

    Jibu

    Pambano hili siyo poa

    Jibu

    Hatar Sana

    Jibu

    Piga kazii kijana acha maneno maneno

    Jibu

    mambo ya masumbwi

    Jibu

    Pambano kali

    Jibu

    Pambano litakuwa hatari.

    Jibu

    Hili pambano niatari

    Jibu

    Pambano la kukata na shoka msilikose wadau.

    Jibu

Acha ujumbe