Uingereza kukutana Tena na Italy.

Timu ya taifa ya Uingereza itakutana na timu ya taifa ya Italia kwa mara nyingine tena baada ya droo kuchezeshwa leo kuelekea michuano ya mataifa ya ulaya mwaka 2024.uingerezaTimu hizi zitakua zinakutana kwa mara ya nne katika vipindi vya huvi karibuni baada ya kukutana katika fainali ya michuano ya mataifa ya ulaya (Euro) mwaka 2021 na Uingereza kupoteza fainali hiyo kwa mikwaju ya penati, Pia walikutana mara mbili katika michuano ya Uefa nations league ambapo walikua kundi moja.

Uingereza wamepangwa kundi moja na nchi za Malta,Ukraine,North Macedonia pamoja na Italia katika kundi C ili kuweza kufuzu michuano ya mataifa ya Ulaya mwaka 2024 yatakayofanyika nchini Ujerumani.uingerezaMichuano hiyo ambayo hufanyika kila baada ya miaka minne yamewafanya Ujerumani kutokutokea kwenye makundi hayo yaliyopangwa baada ya kupata faida ya kua mwenyeji wa michuano hiyo.

 

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.