Usman amefanikiwa kufikia rekodi ya Khabib Nurmagomedov’s ya Ushindi wa mapambano 12 ya UFC mfululizo bila kupigwa.
Wakati Alexander Volkanovski akiendelea kubaki na taji lake baada ya kugawana Alama dhidi ya Max Holloway.
Kamaru Usman amefanikiwa kumpiga Jorge Masvidal na kubaki na Ubingwa wa welterweight kwa maamuzi ya majaji katika UFC 251 nchini Uarabuni ( United Arab Emirates ).

Masvidal, aliyeitwa katika pambano mara ya mwisho baada ya Gilberts Burns kupata maambukizi ya Corona, alisema Usman ana mdhaifu wa Saikolojia katika mapambano.
Lakini majaji wamethibitisha Usman akiwa na nguvu baada ya kushinda katika mpambano huo kwa 50-45 50-45 na 49-46.
Na kumwezesha Mmarekani huyo mwenye asili ya Nigeria kumfikia Khabib Nurmagomedov kwa kushinda mfululizo mapambano 12 ya UFC.
Bondia huyo sasa ameshinda mapambano 12-0 katika UFC na kufikisha mapambano 16 aliyocheza bila kupigwa.
Bashiri michezo kibao na meridiabet Jisajili sasa.


Sadick
UFC mchezo wa kusisimua sana#meridianbettz
Franky
Habari nzur sana ihii
Amiri Kayera
Bondia mzur san huyu
Antony Luseno
Lilikuwa ni pambano lenye ushindani sana lakini mwisho wa siku lazima aibuke mshindi
Issa
Pambano lao lilikuwa la kukata na shoka
lombo
Mambo ya left and right
felister
pambano lilikua la hatari sana hili
Tatu
Pambano la kibabe
Adelta
Pambano la kibabe
Lydia Emmanuel Magoti
Pambano la kupimana ubavuhilo
Ester jackson
Habari njema
Hope mwaikuka
Habar nzur
isha
Pambano la kusisimua
mwajuma
Habari nzuri sana#Meridianbettz
Rehema
Pambano kali
caroline
pambano la ukweli
Edgar
Hatari sana mpambano huo
Dorophina
Pambano lilikuwa hatari maana kila mtu alikuwa hakubali kushindwa
farida ahmadi
Pambano lilikuwa zuri sana
Genia Sikaluzwe
Pambona hili likuwa nizuri na Kila mtu alikuwa hataki kubaki kushindwa
Ernest
Mapema tuu Masvidal ilijulikana atakaa kutokana na odds aliyopewa kabla ya pambano
Khadija
Pambano lilikuwa bomba#meridianbettz
jullie
wazee wa chuma
Magdalena
Pambano tamu sana
devotha
habari nzuri
Njiku
Safii hii
Neema juma
Ilikuwa poa sanaaa
Shafii
Hongera yake Sana kwa kutetea ubingwa wake.
Saupha mohamed
Mchezo mzuri sanaa
Leonard
Hongera kwa usman
Furahav
Usman
theckla
Pambano lilikuwa zuri
David Pere
Alostahili kumpiga maana jamaa ni anajua kupogana sanaa
Salma
Habari nzuri sana hii
Samiah
Pambano lakibabe
mwakalosi
huu mchezo ni ngumi za mtaani zilizohararishwa aisee
Evaluziga
Pambano la kibabe
warda
Duuuu huu mchezo huwaga hatari#Meridianbettz
Angelina
Ulikuwa mpambano wakusisimua sana
Omary lukumbi
Pambano lao kma ulilikosa basi ulikosa burudan safi kabisa
Gabriel
Habar njema sana 👍
sabrina
Hongera sana