Kauli nyepesi Kwa Ki-dutch ni kusema Vaarwel Gini yani Kwaheri Gini. Jumapili nyota wa Liverpool, Georginio Wijnaldum amecheza mchezo wake wa mwisho akiwa amevalia jezi ya Liverpool na mwisho akapata Fursa ya kuwaaga mashabiki wa Klabu ya hiyo.

Gini anaondoka Liverpool akiwa mchezaji huru baada ya mkataba kati yake na Liverpool kumalizika. Wijnaldum alijiunga na Liverpool Mwaka 2016 akitokea Newcastle Utd.

Wijnaldum

-Misimu 5
-Michezo Jumla ni 239
-Magoli aliyofunga 21
-Makombe 4
– EPL 1
-UEFA Champions League 1
-UEFA Super Cup 1
-FIFA Clubs World Cup 1


BONASI YA 50% KILA SIKU KATIKA KASINO ZA EVOPLAY HAPA MERIDIANBET.

Meridianbet na Evoplay Kasino wanakupa bonasi ya 50% ya kiasi utakachoweka katika akaunti yako leo. Unasubiri nini ni wakati wa kupiga pesa sasa na Mabingwa.

tuchel, Tuchel :Tuna Bahati Tottenham Wametusaidia Kazi., Meridianbet

SOMA ZAIDI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa