Tarehe 28 July 2011, Manchester City ilitangaza kumsajili Sergio Aguero kutoka Atletico Madrid. Aguero akiwa Atletico Madrid msimu wake wa Mwisho alifunga magoli 20.
Leo baada ya misimu 10 Kun Aguero amecheza mchezo wake wa mwisho akiwa na jezi ya City. Katika mchezo huo Kun alipata Fursa ya kuwaaga Mashabiki pia.
Kun Aguero 32, alikuwa kwenye mipango ya ujenzi wa Klabu ya Man City chini ya Matajiri kina Sheikh Mansour. Akiwa na City amecheza Jumla ya michezo 374 akifunga magoli 247.
-Misimu 11
-Makombe 15
-EPL mara 5
-FA CUP mara 1
– EFL CUP mara 6
-FA Community shield 3
-Mfungaji bora wa Muda wote ndani ya Man City magoli 247
-Mfungaji bora wa Muda Wote kwenye Ligi Kuu England akiwa na Klabu moja magoli 184 akivunja rekodi ya Wayne Rooney magoli 183 akiwa na Man Utd.
BONASI YA 50% KILA SIKU KATIKA KASINO ZA EVOPLAY HAPA MERIDIANBET.
Meridianbet na Evoplay Kasino wanakupa bonasi ya 50% ya kiasi utakachoweka katika akaunti yako leo. Unasubiri nini ni wakati wa kupiga pesa sasa na Mabingwa.