Wakala wa Salah Akanusha Mawasiliano na Real

Wakala wa nyota wa Liverpool Mohamed Salah amekanusha madai kuwa Real Madrid walitaka kumsajili Salah mwaka 2018.

Mchezaji wa zamani wa Egypt Hany Ramzy, alisema jumamosi kuwa Mo Salah alijadilianana kocha wake wa timu ya taifa Hector Cuper Machi 2018, juu ya kuwasiliana na Real Madrid ambao walitaka kumsajili.

Ramzy meongea katika kituo cha televisheni cha Ontimes Sports kuwa alikuwepo kwenye mazungumzo hayo, na alikuwa sehemu ya mazungumzo juu ya Real Madrid kujaribu kumsajili Salah.

Lakini wakala wa Salah, Rammy Abbas Issa amekanusha kabisa madai hayo.

Wakala huyu anasema Salah hakuwahi kufanya majadiliano ya mpango wake na kocha yeyote aliyepita. Alichapisha kanusho hilo kwenye ukurasa wake wa Twitter.

Salah alifanya vyema kampeni yake ya 2017/8, akifanikiwa kupata magoli 32 kwenye kwenye Ligi Kuu, na kutoa asisti 10.

Mpaka sasa Salah amefunga jumla ya magoli 91, katika mechi 144 tangia alipofika Liverpool kutoka Roma 2017.

24 Komentara

    Kuna sababu gani yakusema uongo

    Jibu

    Waswahil wanasemah lisemwalo lipo ngoj tuone na tusubir Asante meridian bet kwa update

    Jibu

    Salah apewe mkataba mwingine tena Liverpool asisepe hawa washaanza chokochoko

    Jibu

    Tusubir na tuone

    Jibu

    Asante meridianbet kwa taarifa

    Jibu

    Inawezakana sio madai ya kweli

    Jibu

    Ramzy kwanini aseme ivyo hawezi zusha uongo usiokua na faida

    Jibu

    Mo Salah bado anahitajika kuwepo kwenye Dimba la Anfield kwa miaka kadhaa nadhani litakuwa jambo jema kwake.

    Jibu

    Tusubilie tuone kitakachojiri

    Jibu

    Safi kwa habari nzuri za michezo.

    Jibu

    Ngoja tuone

    Jibu

    asante meridianbet kwa habar moto moto

    Jibu

    Wakala anajaribu kutengeneza deal hapa

    Jibu

    liverpool bado wanamuhitaji salah ndio maana wanataka kumuongezea mkataba mpya

    Jibu

    Mo Salah kichwa cha Liverpool huyo

    Jibu

    Zidane angefanya amchukue moo tu

    Jibu

    Kwa aina ya uchezaji wake sidhani kama atapata mafanikio Club nyingine zaidi ya Liverpool #Meridianbettz

    Jibu

    Great article #MeridiantBetTZ

    Jibu

    Bado mapema kuondoka Liverpool

    Jibu

    Tulia hapo.

    Jibu

    Tunasubir tuone #meridianbettz

    Jibu

    Tuna subiri tuone kitakachojiri

    Jibu

    Acha tuone itakuaje

    Jibu

    Good

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.