Wayne Rooney Avunja Ukimya Kuhusu Everton

Kocha wa Everton Wayne Rooney amevunja ukimya kuhusu tetesi zinazomuhusisha yeye kuhamia lwenye klabu yake ya utotoni leo alipoulizwa kwenye kikao na waandishi wa habari.

Wayne Rooney aliulizwa kwenye kikao na waandishi wa habari alichokuwa anatolea maelezo kuhusu mchezo wao wa wikiendi, jumamosi dhidi ya Nottingham Forest, kusuau yeye kuamia kwenye klabu ya Everton alijibu.

Wayne Rooney
Wayne Rooney

Sikiliza, mimi ni sawa na watu wengine, naona maneno yanayozungumzwa na Everton ndio klabu niliyokuliya na naona sifa kuhusishwa nao.

“Naijua Everton kama wakihitaji kufanya na mazungumzo na mimi inabidi wapitie kwenye uongozi wangu.”

Alipoulizwa ikiwa klabu ya Everton watamfuata ni ugumu gani atapata kuweza kuwakataa alisema, “nadhani haya ni maneno ya kusikia tu sababu hakuna yeyote aliyenifuata, na sasa akili yangu yoye ipo kwa Derby County kwenye mchezo wa kesho.”

Alipoulizwa kuhusu ikiwa Everton watakapowasiliana na uongozi kuhusu kuongea nao, “hawajafanya hivyo, siwezi kuruhusu chochote kuweza kuniondoa kwenye kazi yangu, najua mna maswali mengi, bila shaka hakuna mawasiliano yoyote na uongozi, kiukweli sina mengi ya kusema  kuhusu swala hili.”


JIACHIE NA ALMIGHTY AZTEC

Ni muda wako kujiachia na mchezo maridhawa wa Almighty Aztec katika kasino bomba za meridianbettz. Nafasi ya kutengeneza mkwanja iko mikononi mwako kazi ni kwako.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.