Vermaelen Ajiunga Na Timu Ya Taifa Ubelgiji.

Baada ya kutangaza kustaafu kucheza soka, aliyewahi kuwa mchezaji wa Arsenal, FC Barcelona na timu ya Taifa ya Ubelgiji, Thomas Vermaelen amepanda ngazi.

Vermaelen amejiunga na benchi la ufundi la Timu ya Taifa ya Ubelgiji linaloongozwa na Roberto Martinez kama kocha mkuu.

Hii ni hatua kubwa kwenye maisha ya soka ya Thomas ambaye, sasa ni sehemu ya timu itakayokinoa kikosi cha Ubelgiji kuelekea mashindano ya Kombe la Dunia kule Qatar, 2022.


JIACHIE NA ALMIGHTY AZTEC

Ni muda wako kujiachia na mchezo maridhawa wa Almighty Aztec katika kasino bomba za meridianbettz. Nafasi ya kutengeneza mkwanja iko mikononi mwako kazi ni kwako.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe