Wenyeji Kombe la Dunia la Wanawake Kuchaguliwa Juni 25

Wenyeji wa michuano ya Kombe la Dunia la Wanawake 2023 watachaguliwa katika mkutano wa Baraza la FIFA wa tarehe 25 Juni ambao utafanyika kwa njia ya mtandao.

FIFA wanatarajia kuchagua kati ya Brazil, Colombia, Japan, na muunganiko wa Australia na New Zealand katika wenyeji wa michuano hii mikubwa zaidi ya soka la wanawake. Nafsi ya kupata mwenyeji inatajwa kuwa na ushindani mkubwa zaidi kuwahi kutokea.

Awali, wenyeji walitakiwa kuchaguliwa katika mkutano wa Baraza la FIFA kule Addis Ababa mwezi Juni, lakini ulighairishwa kwa sababu ya janga lililoikumba dunia.

Wenyeji Kombe la Dunia la Wanawake Kuchaguliwa Juni 25

FIFA wamesisitiza kuwa bado wanazingatia umuhimu wa kupata mwenyeji kwa ushindani wa wazi na watahakikisha wanakuwa katika lengo hilo hasa katika kipindi hiki ambacho kumekuwa na ushindani mkubwa zaidi katika soka la wanawake.

Kupitia mkurugenzi wake Fatma Samoura, FIFA wamebainisha kuwa ripoti ya ushindani na mchakato mzima wa kumpata mwenyeji itachapishwa mwezi Juni. Wakati Korea Kusini na South Africa wao walijitoa mapema mwezi disemba kwenye kinyang’anyiro hicho.

Michuano ya Kombe la Dunia la Wanawake 2023 itahusisha timu 32 kwa mara ya kwanza, ikiwa ni ongezeko kutoka timu 24 za mwaka 2019 kule Ufaransa.

38 Komentara

    Nawaombea kikao kikafanyike vyema na haki itendeke

    Jibu

    Safi sana wanawake ,mkiwezeshwa mnaweza.

    Jibu

    habari njema

    Jibu

    Good news 👍# meridianBetTZ

    Jibu

    Tunaomba mambo yawe mazuri katika kikao hicho

    Jibu

    Upande wa wanawake huwa hawana ratiba kama ya wanaume kumbee

    Jibu

    Kwa miaka ya karibuni msisimuko umeongezeka sana mpira wa wanawake. Kila la kheri#Meridianbettz

    Jibu

    Wanawake nao hawajaachwa nyuma katika soko

    Jibu

    asante meridianbet kwa habar moto moto

    Jibu

    Ni habari njema

    Jibu

    Habari njema hyo

    Jibu

    Asante sn meridianbet Mambo mazuri

    Jibu

    Wanawake ni nomaa

    Jibu

    Mambo mazuri hayo wanawake nasisi tunaweza

    Jibu

    meridianbet amjawai kuboa habar mzur hapa n haki saw apana chezea

    Jibu

    Wanawake tupo juu

    Jibu

    Ahsanteni meridian kwa habari njema

    Jibu

    Ni jambo jema hilo kila la heri katika hicho kikao kinachotarajia kufanyika

    Jibu

    Ahsante meridian kwa habar nzur #meridianbettz

    Jibu

    Nimeipenda hiyo taarifa kuhusu wanawake. Nawapa big up kwa kweli

    Jibu

    Meridian mnahabari nzr sanaaa asanten

    Jibu

    Asantee meridian kwatarifa nzuri wanawake tuna weza tupo juu

    Jibu

    Jambo jema Kwan wanawake Sasa hiv wanaweza#meridian

    Jibu

    Asante kwa taarifa

    Jibu

    Nihabari njema

    Jibu

    Ni habar njema

    Jibu

    Ni habar njema

    Jibu

    Wanawake wakiwezeshwa wanaweza

    Jibu

    Ni hatat fire

    Jibu

    Wanawake tunaweza

    Jibu

    Good 👍

    Jibu

    Huu mchakato kwa sasa utakuwa mgumu kutokana na hali ya hewa

    Jibu

    wanawake tukiwezeshwa tunaweza

    Jibu

    Great

    Jibu

    Vzr

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Wanawake tunaweza

    Jibu

    Wanawake wanalipaisha soka sana

    Jibu

Acha ujumbe