Yanga: Hesabu za Ubingwa Zimekamilika

Baada ya kufunga usajili wao kwa kishindo kwa kumshusha mshambuliaji hatari wa timu ya Taifa ya Burundi, Fiston Abdoul Razak. Uongozi wa klabu ya Yanga umesema hesabu zote zimekamilika na kilichobaki ni vita ya kuhakikisha wanatwaa ubingwa msimu huu.

Fiston aliyetua rasmi siku ya Ijumaa iliyopita akitokea nchini Burundi, na kupelekwa moja kwa moja kujiunga na kambi ya timu hiyo anakamilisha idadi ya wachezaji watatu waliosajiliwa na Yanga katika kipindi cha usajili wa dirisha dogo.

Wachezaji wengine wa Yanga waliosajiliwa ni; Dickson Job na Saidi Ntibazonkiza, huku Yanga pia ikiongeza nguvu kwenye benchi lake la ufundi kwa kumwajiri kocha msaidizi Nizar Khalfan na kocha wa viungo raia wa Ghana Edem Mortotsi.

Akizungumzia mipango yao katika mzunguko wa pili wa ligi Mkurugenzi wa uwekezaji wa GSM na mjumbe wa kamati ya usajili Injinia, Hersi Said amesema: “Tumekamilisha kwa kiasi kikubwa mipango tuliyokuwa nayo kabla ya kuanza kwa msimu huu, ambapo shabaha yetu kubwa ilikuwa ipo katika maeneo matatu ya utawala bora, idara ya ufundi iliyo thabiti na wachezaji wa kiwango cha juu.

“Kazi hiyo tumeikamilisha kupitia usajili bora wa wachezaji na kuajiri makocha wenye viwango na wakati huu tumebaki na lengo moja tu la kuhakikisha tunaibuka mabingwa msimu huu.


TUNGENEZA FAIDA KUPITIA KASINO YA MERIDIANBET

Neptune’s Richies ni mchezo Unaokupa pesa chap chap huku ukiwa unaburudika kupitia Kasino ya Mtandaoni ndani ya Meridianbet.

Neptune's-Riches_Casino-Post_30-January

Cheza hapa

14 Komentara

    Msimu huu mtatujua

    Jibu

    Kila la kheri kwao

    Jibu

    Saw tunasubili tuone

    Jibu

    Sawa ngoja tusubiri yatakayo jiri

    Jibu

    Yanga mbele daima

    Jibu

    Daima mbele nyuma mwiko

    Jibu

    Mmh tunasubir tuone

    Jibu

    Kila lakheri yanga

    Jibu

    Hongeren

    Jibu

    Daima mbele

    Jibu

    Utopolo msituletee maneno tunataka vitendo

    Jibu

    Ngoja tuone

    Jibu

    Hawapati hata kwa nini

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.