Kanuni za mashindano ya CAF zinaelekeza kwamba nchi 12 zenye ligi bora barani Afrika, hutoa timu 4 kushiriki mashindano ya CAF; mbili kwenye ligi ya mabingwa na mbili kwenye Kombe la Shirikisho.
Msimu huu (2019/20), Tanzania ilikuwa katika nafasi ya 12, na ndiyo maana ilitoa timu 4. Simba, Yanga, Azam FC na KMC.

Lakini kutokana na kufanya vibaya kwa timu hizo, Tanzania ikashuka hadi nafasi ya 13, na Libya ambayo ilikuwa ya 18, ikapanda hadi nafasi ya 12 kutokana na timu yake ya Al Nasr kufika robo fainali ya Kombe la Shirikisho.
Hata hivyo, Libya haitokuwa na mshiriki katika mashindano ya CAF kwa msimu ujao wa 2020/21 kutokana na kushindwa kumaliza ligi yao.
Hii ni mara ya pili kwa nchi hiyo kushindwa kumaliza ligi, hivyo CAF wameiadhibu kwa kuwaondoa kwenye mashindano.

Sasa endapo Libya hatokuwepo, huenda zile nafasi zao nne zikaangukia kwa anayefuata baada ya yao, ambao ni sisi Tanzania.
Japo CAF hawajatoa maelekezo juu ya atakayechukua nafasi ya Libya, lakini matumaini ya wachambuzi wengi ni kwamba nafasi hiyo itaangukia kwa Tanzania.
Hapa ndipo kwenye matumaini.
Kama itakuwa hivyo, basi timu za Tanzania zitakazoshiriki ni kama ifuatavyo.
Simba – Ligi ya Mabingwa
Yanga – Ligi ya Mabingwa
Namungo – Kombe la Shirikisho
Azam FC – Kombe la Shirikisho
Umekuwa mteja muaminifu wa meridianbet? Basi fahamu kuwa kuna zawadi kibao hadi 5% ya pesa yako inarejeshwa kwako. Kila wiki unaweza kurudishiwa mpaka Tsh 250,000.


Ernest
Hapa tunaomba tu uamuzi ufikie kama tunavyotarajia sio mbaya kwa timu zetu kupata nafasi kwasababu ndio tunaofuata baada ya Libya
Dorophina
Hatua tuliyofikia Tanzania sio mbaya sana ingawa tunatakiwa kujitahidi msimu ujao
Adelta
Sisi Kama mashabiki tunaomba usajili
Uwe wa amanina utulivu@meridianbettz
Mwajumah
Sio mbaya kwa team zetu kupata nafasi #Meridianbettz
Sauda
Tanzania tunaweza, tuongeze juhudi .
Janeflora malisa
Bidiii muhim
JULIANA
Langu jicho
Ester jackson
Tinaomba maamuzi yawe mazudi zaidi
Zeiyana
Mungu hibariki Tanzania yetu ila azamu walikua vizuri sana aa sijui wanakwama wapi?
Angelina
Mungu ibariki Tanzania
magdalena
kama maamuzi yataenda poa na tanzania ikachaguliwa itakuwa poa sana
rama
Maoni:itabidi club zijitahid msimu ujao tupande ili tupeleke timu4
Mwanahamisi
Gud news
Lydia Emmanuel Magoti
Tupambane tutaweza
Nasra
Kila kitu kinawezekana
Warda
Daaa jamani Simba ndo inabeba sana Taifa #Meridianbettz
Khadija
tunaomba maamuzi yawe mazuli zaid#meridianbettz
Fatina mfingi
Mmmh tusubir tuone
Tatu
Tuendelee kuimbea dua time ya simba ikafanye vizuri kwenye mechi zinazikuja
felister
hakuna kinachoshindikana
Samiah
Langu jicho
Sadick
Utakuwa uamuzi mzuri kuona timu zote hizo zikishiriki mashindano ya Kimataifa#meridianbettz
Rose kapinga
Safiiii
Salma ngende
Ni jambo zuri
Saupha mohamed
Safii
farida ahmadi
Ni habari njema Sana kwetu mashabiki wa Simba na yanga
Gabriel
Me naamin msimu ujao tutafanya vzur sana kutokana na usajil ambao tumeifanya kipind hich japo kulikuwa na migogoro lakin now tumenda sawa na tunatarajia kuona tunapanda kwa kasi
Rehema
Safi
Furahav
Mbona itakua raha tu.
Issa
Ni safi sana
Hope mwaikuka
💪💪
Devotha
Msimu ujao utakua bora zaidi acha tuendelee kusajili
Sabrina
Itakuwa poa sana msimu ujao
Leonard
Habari njema
Latifa juma mohamed
Tunaomba maamuzi yawe mazuri zaidi na ya kuridhisha.
David Pere
naamin msimu ujao tutafanya vzur sana kutokana na usajil ambao tumeifanya kipind hich japo kulikuwa na migogoro lakin now tumenda sawa na tunatarajia kuona tunapanda kwa kasi sanaaa
Omary lukumbi
Sio mbaya pia kwa hatua tuliofikia tanzania na vilabu vya hapa nchini
aisha
Tunachokionba sisi mashabiki maamuzi yao yawe mazuri
Caroline
Mungu ibariki Tanzania
Njiku
Timu za kiafrika me naona upeo wao mdogo wanawaza kushindana wao kea wao na majungu ya kuchukukiana kiss wachezaji wanatakiwa kusajili ili wapambane kimataifa
Shafii
Kama itakua ivi ni bahati kubwa Sana kwa yanga na azam.
Povel
Gud
Amiri Kayera
Good