UEFA: Nani Kubaki Nani Kwenda Robo Fainali?

Hatua ya kumi na sita bora ya michezo ya ligi ya mabingwa ulaya “UEFA Champions League” kumalizaka je nani atakwenda nane bora na nani atabaki au ndio tutarajie maajabu mengine baada ya dakika 90.

Kwenye hatu ya 16 bora mwaka huu hakuna tena faida ya goli la ugenini, na sasa timu itabidi ipindue meza kibabe ili kufanikiwa kuvuka hatua inayofuata, hapa tunakuletea michezo nane ikijumlisha timu 16 kwenye hatua hii huku kukiwa na matokeo ya mzunguko wa kwanza.

UEFA
UEFA Champions League

Bayern Munich vs. RB Salzburg (1–1) Kwenye mzunguko wa kwanza Kingsley Coman alifanikiwa kuikoa bayern isiwe nyuma ya goli moja sasa nani kuvuka hapa na nani kubaki, Liverpool vs. Inter Milan (2–0) Liver anapewa nafasi kubwa ya kuweza kuvuka lakini ni dakika 90 ndio zitaamua hapa kama milan ataweza kupindua meza kibabe.

Manchester City vs. Sporting Lisbon (5–0) Bila shaka nafasi ya kuvuka kwenda robo fainali ni kubwa kwa timu Man City lakini pia sporting hawapaswi kupuuzwa kwenye hatua hii japo City ni njia nyeupe, Real Madrid vs. PSG (0–1) Moja ya mchezo ambao bado mpaka sasa uko mweupe ni huu kutokana na PSG kushindwa kustahimili  kulinda matokeo yao.

Kwenye michezo nane ya wiki hii itatupa mwanga wa michezo nane ya wiki ijayo baada ya kujua nani atavuka na nani atabaki, pia unaweza jaribu bahati yako kwa kubashiri HAPA kuweza kujikusanyia ushindi wako


VUNA MKWANJA NA SHINDANO LA EVOPLAY SPRING AWEKING

Mchongo mpya mjini ni Shindano la Evoplay Spring Aweking katika kasino maridhawa za meridianbettz. Pata mgao wako wa TSh 25,000,000  katika michezo kibao ya kasino na sloti ziliyochaguliwa kushiriki.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

SOMA ZAIDI HAPA

Acha ujumbe