Uholanzi Mwenyeji Uefa Nations League 2023

Uholanzi kama taifa limepewa nafasi ya kua mwenyeji wa michuano ya Uefa Nations League kwa mwaka 2023 lwakiwashinda mataifa kadhaa ambayo yalikua yanagombea kua mwenyeji wa michuano hiyo.

Timu ya taifa ya Uholanzi itakua mwenjeji wa michuano hiyo a,nayo ilianzishwa mwaka 2019 kwa mara ya kwanza na bingwa alikua timu ya taifa ya Ureno. Timu hiyo maarufu kama The Oranje wamefanikiwa kuwapiku Ubelgiji,Poland, na Wales ambao walionesha nia ya kuandaa michuano hiyo.uholanziBaada ya timu tatu kuongoza kundi na kufuzu hatua ya mtoano ambazo ni Italia, Croatia, pamoja na Hispania sasa ni wazi Uholanzi watazikaribisha timu hizo katika ardhi yake ya nyumbani katika msimu wa 2022/23 wa michuano hiyo.

Michuano hiyo itaanza hatua ya nusu fainali tarehe 14 na 15 Juni wakati mchujo wa fainali ya michuano ya Uefa Nations League na mshindi wa tatu yatafanyika tarehe 18 mwezi wa sita nchini humo.uholanziDroo ya kubanisha timu nne za mwisho ambazo zimefuzu hatua ya nusu fainali ya michuano hiyo inatarajiwa kufanyika makao makuu ya shirikisho la soka barani ulaya Uefa katika jiji la Nyon nchini Uswisi mwezi Januari mwakani.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.