Meridianbet Tanzania inakuletea Tamasha la Bonasi za Sloti – mchanganyiko sahihi wa burudani, bonasi na kufurahia.

Muda wote kuna hali ya kusheherekea ndani ya Meridian, wabashiri watafurahia ofa, ushindi mnono, zawadi na michezo mingi ya kuvutia katika michezo ya kasino kila siku. Kitu ambacho kitafanya mteja wetu mwenye akaunti kupata zawadi nyingi zaidi.

Mwezi huu wa nne Meridianbet imejiandaa kukupa bonasi za sloti za ukweli ambazo zitakupa sababu nyingi za kufurahia, na kuwa na muda mzuri, na zaidi kujipatia bonasi kubwa.

Msimu wa bonasi wa mwezi wa nne utafanya michezo ya kasino kuwa rahisi na ya kusisimua, Sticky 777 na Casino Heist itatoa zawadi zaidi bila kuzuia zawadi zingine zitakazoambatanishwa. Wabashiri watakuwa na uwezo wa kucheza gemu maarufu zaidi za kasino na kujishindia zawadi kemkem.

Ifuatayo ni baadhi ya utakayoyafurahia kwa bonasi zake:

Fairy in Wonderland ni mchezo mpya, utakaomchukua mteja kwenye dunia ya maajabu kwa hadithi za kusisimua.

Sticky 777 huu ni mchezo ambao unaleta picha ya matunda halisi na milipuko ya burudani, ulioundwa kwa mfumo mzuri wa muonekano wa picha na kufanya kuwa ni mchezo usiopingika na kuleta burudani zaidi.

Na mchezo mwingine ni Casino Heist, huu sasa ndiyo mchezo wa furaha kila wakati, msisimko na matukio. Maudhui ya uporaji wa kasino, muonekano wa ajabu na hata waandaaji wa michezo ya sloti wameutenga mchezo huu na michezo michezo mingine ya sloti.

Sasa kubwa ni je, ni namna gani utapata zawadi, na ni vipi utashinda bonasi? NJIA YA KUPATA BONASI NI RAHISI NA BURUDANI

Msimu wa bonasi utakuwa wazi kuanzia tarehe Machi 30 mpaka Aprili 17 mwaka 2020, na kwa kila mizunguko 300 utakayocheza kutoka kwenye michezo iliyoorodheshwa hapo ndani ya siku moja. Meridian Kasino itakuzawadia TSh 6000/=, mpaka 24000/=

Kucheza kasino mtandaoni haijawahi kuwa na zawadi namna hii, hautaburudishwa tu, utapata na bonasi pia.

Sloti za bonasi za Meridian – mchanganyiko sahihi wa burudani, michezo ya kasino na bonasi.


Ingia HAPA Kufurahia Bonasi za Nichezo ya Kasino

Bonasi za Kasino

3 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa