Chelsea Kumvuta Jules Kounde

Klabu ya Chelsea imekubali kulipa kiasi cha £55 million kwa ajiri ya kumsainisha Jules Kounde kutoka Sevilla

Chelsea baada ya kufanikisha usajiri wa  Kalidou Koulibal wenye thamani ya £34m wikiendi iliyopita, kocha wa klabu hiyo Thomas Tuchel bado anataka kuboresha  nafasi ya ulinzi wa kikosi chake.

Chelsea

Awali Klabu ya Chelsea ilijaribu kumsajiri Jules Kounde kwenye dirisha la usajiri kwenye majira ya kiangazi lililopita lakini offer yao ilikataliwa dakika za mwishoni na kubakia jijini sevilla.

Taarifa zinasema kuwa Kaounde tayari kakubaliana makubaliano binafsi na klabu ya Chelea, mchezaji huyo wa kimataifa kutoka Ufaransa anajianda kusafiri kwa ajiri ya vipimo vya afya ndani ya saa 48 zijazo.

 

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.