Klabu ya Chelsea imekubali kulipa kiasi cha £55 million kwa ajiri ya kumsainisha Jules Kounde kutoka Sevilla
Chelsea baada ya kufanikisha usajiri wa Kalidou Koulibal wenye thamani ya £34m wikiendi iliyopita, kocha wa klabu hiyo Thomas Tuchel bado anataka kuboresha nafasi ya ulinzi wa kikosi chake.
Awali Klabu ya Chelsea ilijaribu kumsajiri Jules Kounde kwenye dirisha la usajiri kwenye majira ya kiangazi lililopita lakini offer yao ilikataliwa dakika za mwishoni na kubakia jijini sevilla.
Taarifa zinasema kuwa Kaounde tayari kakubaliana makubaliano binafsi na klabu ya Chelea, mchezaji huyo wa kimataifa kutoka Ufaransa anajianda kusafiri kwa ajiri ya vipimo vya afya ndani ya saa 48 zijazo.