Leandro Parades Kutolewa kwa Mkopo Juventus.

Kiungo wa klabu ya PSG ya nchini Ufaransa imepanga kumtoa kwa  mkopo kiungo wake Leandro Parades kwenda klabu ya Juventus ya nchini Italia, Kiungo huyo raia wa Argentina ameonesha nia kwa klabu yake anaihitaji Juventus kama chaguo la kwanza.

Inaelezwa kiungo huyo alishakua na makubaliano ya maslahi binafsi na wababe hao wa Italia wiki kadhaa nyuma.

Klabu zote mbili zimeoneshana kukubaliana na dili hili huku kila pande wakijaribu kusukuma dili hili likamilike kwa wakati. klabu ya Juventus inataka kumchukua kiungo huyo kwa mkopo wa msimu mzima huku kukiwa na kipengele cha kumnunua jumla.

Kiungo wa uzuiaji huyo aliewatumikia mabingwa  hao kwa takribani misimu minne na anaondoka klabuni hapo kwaajili ya kupata nafasi zaidi ya kucheza kuelekea michuano ya kombe la dunia mwishoni mwa mwaka huu kule nchini Qatar.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.