Akanji Anukia Manchester City.

Manchester City wapo kwenye mazungumzo ya kutaka kumsajili beki wa kati wa Borussia Dortmund Manuel Akanji.

Mchezaji wa kimataifa wa Uswizi, Akanji yuko katika mwaka wa mwisho wa kandarasi yake na bado hajaonekana katika klabu ya Dortmund msimu huu.

Akanji Anukia Manchester City.

Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola hajakataa kusajili wachezaji wengine kabla ya tarehe ya mwisho ya usajili amabapo alipozungumza na waandishi wa habari katika mkutano wake kuelekea mchezo wa Jumatano dhidi ya Nottingham Forest.

Akanji Anukia Manchester City.

Alipoulizwa kuhusu taarida za usajili, alisema: “Sijui, sijui kitakachotokea.”

Mchezaji huyo amekuwa akilengwa na Inter Milan msimu huu wa joto, kwa mujibu wa SkySport huko Italia.

Taarifa nyingi zimekuwa zikiripoti kwamba  Dortmund wanataka kati ya Paundi 13M (€15m) na £17M (€20m) ili kumuuza.

Akanji Anukia Manchester City.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.