Arsenal Yamuongezea Mkataba Gabriel.

Klabu ya Arsenal imetangaza kumuongezea mkataba beki wake wa kimataifa wa Brazil Gabriel Magalhaes aambae atadumu klabuni hapo kwa muda mrefu.arsenalBeki huyo aliejiunga na klabu ya Arsenal mwaka 2020 amekua miongoni mwa wachezaji mhimili wa klabu hiyo licha ya timu hiyo kutokua vizuri katika misimu kadhaa iliyopita lakini Gabriel alikua ni miongoni mwa wachezaji muhimu.

Mkurugenzi wa klabu hiyo ambae pia amewahi kua mchezaji ndani ya klabu hiyo amezungumza leo baada ya kutangaza kumuongezea mkataba mchezaji huyo “Ni kitu kikubwa tumekuabaliana kusaini mkataba mpya na Gabriel. bado ni mchezaji mdogo na ni sehemu ya timu yetu siku za mbeleni. Kiwango chake toka amejiunga na sisi mwaka 2020 kimekua kizuri” Alisema Edu.arsenalArsenal wakiongozwa na mkurugenzi wao bwana Edu wapo kwenye mchakato wa kuwaongezea mikataba mipya wachezaji wao muhimu klabuni hapo ili kutengeneza timu imara siku mbeleni kwenye timu hiyo.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.