Shinda Bodaboda na Simu kwa USSD

SHINDA: Ebuana eeeh ule mzigo umeshafika kwao, na huu sio wa mwingine ni kwaajili yako kabisa unakusubiri wewe tu. Meridianbet mabingwa wa hizi kazi hapa Tanzania wamekuja na kitu kipya tena.

Ukiwa na Meridianbet unaweza kujiweka kwenye nafasi ya kujishindia zawada kabambe kwenye promosheni yao ambayo inaendelea hivi sasa, ikiwa imebakiza wiki moja kuisha.

Meridianbet wanaendesha promosheni ya kushinda boda boda na simu nyingine ya mkononi kwa ubashiri wa bila intaneti wa kupiga *149*10# na kubashiri kuanzia mechi tano kwa dau la shilingi 250 tu. Chagua merdianbet sasa!

Cha kufanya weka dau lako kuanzia shilingi 250, kisha chora mkeka wako wa timu tano yaani unaangalia mechi ambazo unaona kabisa haziwezi kuchana mkeka wako, cheza mara nyingi zaidi kujiweka kwenye nafasi ya kujishindia Bodaboda mpya na ya kisasa.

 

SHINDA

 

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.