Simba Kushusha Vifaa Hatari Dirisha Dogo

Maboresho muhimu ya kikosi cha Simba yanakuja kwenye dirisha dogo ambalo litafunguliwa Disemba 15, 2022.

 

SIMBA

Bodi ya Wakurugenzi ya klabu ya Simba ilikutana hivi karibuni katika kikao cha kawaida ambapo, miongoni mwa ajenda zilizojadiliwa ni mwenendo wa timu na maboresho ambayo wanapaswa kufanya.

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Salim Abdallah ‘Try Again’ kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii alibainisha wanayo kazi ya kufanya kuhakikisha wanairejesha Simba katika ushindani unaotarajiwa.

 

SIMBA

Habari njema kutoka ndani ya uongozi wa Simba ni kuwa, Mwekezaji wa timu hiyo Bilionea Mohammed Dewji (MO), ameweka fungu la kutosha mezani kwa ajili ya maboresho hayo muhimu.

Simba haiko tayari kukosa ubingwa wa ligi kuu kwa msimu wa pili mfululizo lakini pia ina malengo makubwa katika michuano ya ligi ya mabingwa ambayo droo ya hatua ya makundi itafanyika Disemba 12.


Je wewe hucheza Kasino Mtandaoni na umekuwa ukijiuliza ni mchezo gani rahisi na mzuri kwa ushindi? Basi Usihangaike Aviator ni rahisi zaidi kucheza na kushinda, kingine cha zaidi ni kwamba Aviator Bonanza imerudi tena Cheza zaidi ujiweke kwenye nafasi ya kushinda Samsung A23.

CHEZA HAPA

 

SIMBA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.