Kipa wa Cameroon Andre Onana Aondoka Kombe la Dunia

Kipa chaguo la kwanza wa Cameroon Andre Onana anarejea nyumbani baada ya kuondolewa kwenye kikosi cha nchi hiyo kinachoshiriki Kombe la Dunia, hii ni baada ya kutofautiana na kocha wake Rigobert Song, Etoo ashindwa kusuluhisha mgogoro huo.

 

onana

Nyota huyo wa Inter Milan, 26, aliondolewa kwenye kikosi kilichopata sare ya kusisimua ya 3-3 Jumatatu dhidi ya Serbia Jumatatu baada ya kuripotiwa kukosana na meneja Rigobert Song kuhusu uchezaji. Meridianbet wanatoa ODDS kubwa kwenye mechi za kombe la dunia.

Majadiliano zaidi na Song siku ya Jumatatu na mazungumzo ya amani yaliyopatanishwa na gwiji Samuel Eto’o hayakuweza kutatua suala hilo, na Onana sasa akiyaacha rasmi mashindano ya Qatar.

Song alisema: “Katika kikosi unahitaji kuona nidhamu na ikiwa huwezi kuendana na nidhamu hiyo, na kile kinachohitajika kuwa sehemu ya kikosi, basi unahitaji kukubali kuwajibika kwa hilo.

 

onana

“Hatuulizi uwezo wake nachezea moja ya timu bora barani Ulaya, lakini unahitaji kuhakikisha timu inachukua nafasi ya kwanza kuliko mtu binafsi.”

Kwa mujibu wa Gazeti la Marca wanadai mzozo huo wa kihisia ulikuja baada ya Song kumpa kizuizi wakati wa mazoezi kutokana na aina ya uchezaji wake kuhatarisha timu.

Beti mechi zijazo za kombe la dunia na nyingine kupitia Meridianbet, beti na kitochi bila bando, kwenye machaguo spesho ya kombe la dunia yenye ODDS kubwa na bomba, na kama sio mpenzi wa mpira kuna michezo ya kasino mtandaoni napo unaweza kushinda jakipoti kubwa. Beti hapa.

Mbadala wake, Devis Epassy, ​​aliruhusu mabao matatu katika sare ya 3-3 na Serbia mnamo Jumatatu. Baada ya matokeo hayo, Song alidai kumuondoa Onana ndio chanzo cha wao kurejea kutoka sare ya 3-1. Beti na kitochi au bonyeza hapa kuona machaguo special ya kombe la dunia.

 

onana

Kocha huyo alitaka Onana acheze kwa mtindo wa kawaida na usio na hatari na hakufurahishwa na jinsi kipa huyo alivyosonga mbele na kuanza mashambulizi kutoka nyuma ya safu ya ulinzi akiwa kama beki ama mchezaji wa ndani.

Baada ya mvutano kupoa, Song na Onana inasemekana walizungumza baada ya kikao hicho lakini kipa huyo alisisitiza kwamba hatabadili aina yake ya uchezaji na kikao cha Jumatatu hakikuweza kutatua suala hilo.

Kulingana na ripoti kutoka Helena Condis Edo, Onana anaona uhusiano wake na timu kama “usioweza kubatilishwa” licha ya majaribio ya rais wa Shirikisho la Soka la Cameroon na mshambuliaji mashuhuri wa zamani Eto’o kupatanisha mazungumzo kati ya wawili hao.


Je wewe hucheza Kasino Mtandaoni na umekuwa ukijiuliza ni mchezo gani rahisi na mzuri kwa ushindi? Basi Usihangaike Aviator ni rahisi zaidi kucheza na kushinda, kingine cha zaidi ni kwamba Aviator Bonanza imerudi tena Cheza zaidi ujiweke kwenye nafasi ya kushinda Samsung A23.

CHEZA HAPA

 

camroon

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.