KIUNGO wa Yanga Feisal Salum Fei Toto inaelezwa kuwa, atakuwa ni mchezaji anayelipwa mshahara mkubwa zaidi kuliko mchezaji yeyote mzawa kwa sasa kwenye Ligi kuu ya NBC. Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet Kasino ya mtandaoni, sloti, Poker, Aviator na Roulette- Chagua Tukupe.

Hii ni baada ya taarifa kusambaa zikieleza kwamba Feisal amefikia makubaliano na timu yake ya Yanga kuhusu maboresho wa mkataba wake, na kwa sasa inaelezwa ameingia mkataba wa miaka 2, wenye thamani ya Tsh 360 na mshahara wake kuongezwa mara 5 zaidi ya ule aliokuwa analipwa mwanzoni. Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.
Endapo makubaliano hayo yataenda kama kawaida, Feisal atakuwa anaingiza kiasi cha Tsh 15 kwa mwezi mshahara wake na atakuwa ni mchezaji mzawa kulipwa kiasi kikubwa cha mshahara kwa sasa. Pata Odds za soka ukiwa na Meridianbet na kasino ya mtandaoni.
Wakati huo John Raphael Bocco ndiye alikuwa ni kinara wa wachezajin wazawa wanaolipwa mshahara mkubwa zaidi, ukikadiriwa kuwa zaidi ya Tsh 10. Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.

