Arthur Melo Kucheza Fiorentina Msimu Ujao

Kiungo wa klabu ya klabu ya Juventus raia wa kimataifa wa Brazil Arthur Melo anatarajiwa kujiunga na klabu ya Fiorentina kwa mkopo wa msimu mmoja.

Kiungo huyo wa kimataifa wa Brazil amekua nje ya uwanja kwa takribani msimu mzima uliomalizika kutokana na majeraha ambayo yalikua yanamuandama mchezaji huyo akiwa kwenye klabu ya Liverpool.arthur meloKiungo Arthur Melo amekubali kujiunga na klabu ya Fiorentina ya nchini Italia ambapo anaona kama anaweza kurudisha ubora wake ambao alikua nao miaka kadhaa nyuma.

Kiungo Arthur Melo anatarajia kuchukua vipimo vya afya siku ya ijumaa ili kukamilsha dili lake la kujiunga na klabu ya Fiorentina, Huku kukiwa na kipengele cha klabu hiyo kumnunua jumla kwa dau la Euro milioni 20.

 

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.