De Gea Dili lake na Genoa Limekufa
Makala iliyopita
Leny Yoro Apata Majeraha
Makala ijayo
Yanga Yaibamiza Vibaya Kaizer Chiefs
Klabu zingine zinaelezwa kuendelea kuifatilia saini ya golikipa huyo wa kimataifa wa Hispania kwajili kumpata kwajili ya kuhakikisha anajiunga kwenye timu zao kutokana na ubora wa golikipa huyo, Lakini timu nyingi zinafeli kumalizana na golikipa huyo kutokana na mahitaji ya kimaslahi ya golikipa huyo.