Ni kweli kwamba hamna ukomo hapa! Una nafasi ya kudai ushindi wako wakati wowote unapobeti hata kama mechi hazijaisha zote katika mkeka wako uliobeti na kituo namba moja kwa ubashiri Tanzania – Meridianbet!
Ikoje hii?
Kuna chaguo la Turbo Cashout kwa kila mkeka unaobetiwa mtandaoni pamoja na ile ya madukani kwetu ambapo unakuwa umeamua kuukatisha mkeka wako uliobeti muda wowote na ukiwa mahali popote.
Ni wakati wowote na mahali popote pale unapokuwa upo.
Hamna vigezo zaidi vya wewe kufuzu kufanya malipo ya haraka kwa kutumia Turbo Cashout kwenye mkeka wako uliobeti.
Kwa sababu ipo mikononi mwako basi hamna haja ya kungojea tena pale unapohisi mkeka wako utachanika ukiuacha uendelee, unaamua kuturbo na kuchukua pesa yako.
Hii ni kabla ya mechi kuanza katika mkeka wako na baada ya mechi kadhaa kuwa zimeshashinda tayari. Utaona neno turbo Cashout katika mkeka wako na unaweza kuuturbo pale pale.
Iwe ni kabla ya mechi kuanza ama mechi zikiwa zimeshaanza unaweza kufanya hivyo mtandaoni, ama kufika katika maduka yetu na kupata huduma hii haraka.
Kwa sasa sahau kuhusu kusubiri sana na kuishia kupoteza tiketi zako ulizostahili kushinda. Epuka hayo yote kwa kufanya Turbo Cashout hapa Meiridanbet.
Zaidi soma hapa kujua yanayokuhusu juu ya suala hili https://promo.meridianbet.co.tz/sw/category/63/page/1840


Cathe
Nimeipenda hii huduma ya kupata pesa hata kama mechi ikiwa bado inaendelea
Povel
Habar njema kwa wazee wa mikeka
Fatina mfingi
Imekaa powah sanaaa