Wachezaji 16 wa klabu ya Vasco da Gama inayoshiriki Serie A ya Brazil wamekutwa na maambukizi ya virusi vya Corona baada ya kupimwa. Brazil imeripoti zaidi ya wagonjwa laki 5 walioambukiwa Korona, na upo kwenye Orodha ya nchi zinazo ongoza kwa Maambukizi ya Corona kwa sasa.

Klabu hiyo kutoka jiji la kiniashara la Rio de Janeiro walipima wafanyakazi wapatao 350 na kuwakuta wachezaji hao 16 wakiwa na maambukizi, hivyo wametengwa na wenzao na huku ambao walikuwa karibu na wao wakiwekwa chini ya uangalizi maalumu kama watakuwa na maambukizi ya Corona.
Vasco da Gama walikuwa wanajiaanda na mazoezi ya kuanza kwa Ligi Kuu ya Serie A huko nchini Brazil.
Brazil imekuwa na kesi zaidi ya nusu milioni na vifo zaidi ya 29,000 kutokana na COVID-19. Ni ya pili baada ya Marekani kwa suala la kesi za maambukizi zilizothibitishwa na nchi ya 4 duniani kote linapokuja suala la vifo.


Shafii
Duh Corona nomaa Sana
Hope mwaikuka
Huu ugonjwa huu
Salma
Janga la dunia limewaathili watu wengi
Antony Luseno
Pole sana kwao na timu kwa ujumla
Zeiyana
Daah..!mungu hatawasaidia wapambanaji wetu watapona watarudi kwenye ali zao..!
David pere
Pole yao Wenzao wanaanza mazoezi warudi uwanjani wao Ndio kwanza wanapata matatizo ya corona
Mwanaidi
Duuuh mungu awasaidie wapone haraka
Rehema Dickson
Daah..!mungu hatawasaidia wapambanaji wetu watapona na kila kitu kitakua sawa
Neema hassan
Covid19 janga la taifa#meridianbettz
Theckla
Mungu awasaidie tu Mana corona ni janga la dunia nzima
aisha
watapona tuu ingekua bongo wangejifukiza
Christopher
Huko brazil hali bado mbaya
Evaluziga
Duu! Corona inatisha
Ester jackson
Poleni sana inatia hofu kubwa sana kwa wanamichezo mungu tupoje na janga hilo la corona
winfrida
inabidi wazidi kuchukua taadhali mpka hali itakapo kaa sawa #meridianbettz
felister
huu ugonjwa hatari sana
Ester mmakasa
Mungu saidia wapone na waendelee na soka.
Caroline
Habari mbaya jmn.izi.mungu awaponye….
Aziza mushi
Hili janga litapita tu.na mungu atawasaidia watapona na watarejea tu uwanjani.
amani
jambo la kheri kufata miongozo ya wataaramu afya aswa kwenye inchi yao#meridianbettz
Magdalena
Duh sad news na ligi ndo zimepamba Moto Sasa itakuwaje
Gabriel
Habar ya kusikitisha sana but MUNGU awasaidie
Sadick
Duh wakati watu tunasubiri burudani ya mpira mara tunasikia habari za kusikitisha kama hizi#meridianbettz
dorophina
Huu ugonjwa ni hatari sana umetikisa dunia
dorophina
Huu ugonjwa ni noma sana umetikisa dunia
Lydia Emmanuel Magoti
Duu noma Sana mungu atawafanyia wepesi
Povel
Ni habar ya kuhuzunisha sana mungu atawasaidia wata pona
Emmy cleopa
Duuuh!! Huu ugonjwa sio nzuri kwa kwer Ila m/mungu atawafanyia wepesi watapona.
Genia Sikaluzwe
Mmh huu ungonjwa siyo poa kabisa
Mwajuma
Mungu atawaponya watakuwa fresh tu
mathayo sonje
walifanya jambo la msingi sana kuwapima maana ilikua ni mwendo wa kuambukizana uwanjani, umakini tu na kanuni za afya zikifuatwa tutapona sote kwa pamoja
Kenani
Hiki tatzo litaisha lin
Ernest
Mungu awapiganiwe katika kipindi hiki kigumu, ni muhimu kuzingatia ushauri kutoka kwa wataalamu wa afya ka kufanya mazoezi.
mwakalosi
Brazil ni kama kitovu cha maambukizi huko kusini america
Elika
Covid 19 sio ugonjwa mzuri.mungu atawasaidia watapima
Tahiya
Huu ugonjwa ni atarii sana Mungu awasaidie wapone na maisha yaendelee
Devotha
Ooh! Poleni sana Mungu atawapigania watapona na covid19 itaondoka
Mariam mtandama
Duuuh corona inatisha
Rehema
Eeeeh! Bwana ee Corona Ni ugonjwa sio mzuri mungu awasaidie
Juliana
Poleni wachezaji wetu, virusi vya Corona sio poa kabisa.
Warda
Jamani jamani huyu Corona kweli katupania #Meridianbettz
Agness
Duuh pole zao mungu awasaidie wapone
Hamidu
Habari mbaya kwa wapenda burudani ya soka . Poleni wana Vasco da Gama
Asha
Duh mungu hta wasaidiah watapona tu
Khadija
Huu ugonjwa umewathili watu wengi sana#meridianbettz
Samiah
Corona balaa kubw
Frank Patrick
Bara la America limeathiliwa sana na Covd 19 maombi kwao wapone haraka
Theonestina
Mungu atunusuru kwakwer maana huu ugonjwa Sio poa
Issa
Pole yao