Bodi ya ligi, EPL wametangaza ratiba ya ligi ili kumalizia msimu huu wa 2019/20 ambao ulisimama mwezi March kutokana na janga la Corona.
Mechi mbili za mwanzo za kati ya Arsenal dhidi ya Manchester City, na Aston Villa dhidi ya Sheffield United zitachezwa June 17 kama viporo ili kukamilisha mzunguko wa 29 wa ligi hiyo.
Kwa mujibu wa ratiba hiyo mpya, ligi hiyo itakuanja angalau mechi moja kila siku kuanzia June 17 mpaka July 2.
| Tarehe | Mechi | Muda |
| 17, June | Aston Villa v Sheff utd | 18:00 |
| Man City v Arsenal | 20:15 | |
| 19, June | Norwich v Southampton | 18:00 |
| Spurs v Man Utd | 20:15 | |
| 20, June | Watford v Leicester city | 12:30 |
| Brighton v Arsenal | 15:00 | |
| Westham v Wolves | 17:30 | |
| Bournemouth v crystal palac | 19:45 | |
| 21, June | Newcastle v Sheffield | 14:00 |
| Aston Villa v Chelsea | 16:15 | |
| Everton v Liverpool | 19:00 | |
| 22, June | Man City v Burnley | 20:00
|
| 23, June | Leicester v Brighton | 18:00 |
| Spurs v West Ham | 20:15 | |
| 24, June | Man Utd v Sheff Utd | 18:00 |
| Newcastle Utd v Aston V | 18:00 | |
| Norwich v Everton | 18:00 | |
| Liverpool v Crystal palace | 20:15 | |
| 25, June | Burnley v Watford | 18:00 |
| Southampton v Arsenal | 18:00 | |
| Chelsea v Man City | 20:15 | |
| 27, June | Aston Villa v Wolves | 12:30 |
| 28, June | Watford v Southampton | 16:30 |
| 29, June | Crystal Palace v Burnley | 20:00 |
| 30, June | Brighton v Man Utd | 20:15 |
| 1, July | Arsenal v Norwich | 18:00 |
| Bournemouth v Newcastle | 18:00 | |
| Everton v Leicester | 18:00 | |
| Westham v Chelsea | 10:15 | |
| 2, July | Sheff Utd v Spurs | 18:00 |
| Man City v Liverpool | 20:15 | |


Salma
Iko vizuri tunasubiri siku ifike
Ester jackson
Man City v Arsenal hizi timu nazisubiri kwa hamu sana nimeone arsenal amebadilika au bado mana wanatamba sana mashabiki zao
Mwanaidi
Asanteni meridian kwa ratiba pia asante mungu hatimae ligi zinarudi na zinaendelea pale pale zilipoishia ni jambo la kushukuru sana aisee maana mashabiki tulipoonza sanaa na sasa mchakamchaka wa kuweka mikeka yetu umerudi tulisubiri sanaaa aisee
Neema juma
Hiyo ratiba imekaa vyema kabisa
Tahiya
Hatimaye ligi pendwa inarudi tena shauku ni kwa chama langu Arsenal
Agness
Ratiba iko vizuri Sana tunaisubiri kwa ham
Rehema Dickson
Ratiba iko vizuri bora timu zirudi mambo yawe mazuri maana tume vumilia kipindi kirefu Sana bila kubet
Mwajuma
Tulimiss burudani ya soka
Elika
Ratiba iko vizuri sana.nategemea kuiona Liverpool mpya katika msimu huuu
Rehema
Daa! Safi sn tunasubili siku ifike hii ratiba iko vizuri kinoma
Julieth
Noma sana bora ligi irudi
Rahab
Daaah Safi sana
Neema hassan
Wapenzi wa soka tunasubir kwa hamu..
Theckla
Iko poa
Antony Luseno
Tunasubiria derby ili kujua mbabe ni nan ?#meridianbettz
Frank Patrick
Naombea city akae hapo kwa arsenal
Mariam mtandama
Vizur
Evaluziga
Hiyo ratiba imekaa vizuri
felister
Kama naliona chama langu la arsenal likimchapa man city
Ester mmakasa
Asanteni kwa kutujulisha.
Hope mwaikuka
Waooo iko bomba mbaya
Khadija
Duuh meridian nawakubali sana kwan nilikuwa nawaza ratiba itakuwaje pamoja sana kwa kutujali wateja wenu kwan mnajua thamani yetu##meridianbettz
isha
Imekaa powa sana
Devotha
Iko vizuri tunasubiria tu ligi kuanza
winfrida
habari njema na ya kufurahisha kwetu sisi wabetiji
Adelta
Iko Vizuri tunawasubiri
Dorophina
Mambo mazuri hayo tunasubilia tu siku ifike
Ernest
Itakuwa pouwa sana, Huku EPL, Bundesliga Serie A na Laliga
Sylvester
Uhondo unarudi sasa tumesubiri vya kutosha Corona tuache kidogo #meridianbettz
Sadick
Hatimaye mwanga umeonekana baada ya kiza kinene cha muda wa miezi kadhaa#meridianbettz
Samiah
Iko poa
Genia Sikaluzwe
Imekaa vizuri
Christopher
Tunaisubir kwa hamu
mathayo sonje
sasa hii inataka kuturudisha katika mzuka mpyaaa, kwa sababu hii ligi inamsisimko wa kipekee ulimwenguni.
mwakalosi
hii ni habari safi na tunasubiri kwa hamu
Hamidu
Habari nzuri wapenda burudani ya soka
Nilimis kuangalia Man utd.
Emmy cleopa
Habar njema
Mwanahamisi
Iko poa
Zeiyana
Tuna subir kwa hamu zote lingi msimu mpya..!
Lydia Emmanuel Magoti
Tunaisubili kwahamu
JULIANA
Tunasubiri kwa hamu aise
lombo
habar njema
Shafii
Gud newz kwa waandaji majamvi
Kenani
Tarehe 30 na 1 June match za kupiga pesa hzo
Aziza mushi
Iko poa Sana👍
David Pere
Imekaa vizuri sanaa kwa wenzetu wa Mambo ya kutafuta pesaaaa
Warda
Asanteni kwa ratiba #Meridianbettz
Magdalena
Hizi ndo habari nilizokuwa nazisubiri kwa hamu zote ili nianze kupiga pesa kwa kubeti na #meridianbet
Caroline
Aweer mambo ni motoo
Gabriel
Tunaingojea kwa ham kubwa
Povel
Gud news kwa wapenda soka na wazee wa mikeka
Theonestina
Taarifa nzuri Sana kwetu
Hidaya
Wazee wa kubeti tunaingia mzigoni sasa
Amani
Man City v Arsenal hizi timu nazisubiri kwa hamu sana