Werder Bremen Kushuka Daraja?

Hali ya timu ya Werder Bremen katika msimamo wa ligi ya Bundesliga siyo ya kuridhisha kabisa, na kuna uwezekano timu hiyo ikashuka daraja baada ya kufanya hivyo muda mrefu sana uliopita.

Timu hiyo ambayo ndiyo timu iliyokaa katika Bundesliga kwa muda mrefu bila kushuka daraja kuliko timu yoyote ile, mpaka sasa ipo nafasi za chini kabisa za msimamo na kuna hatihati wakashushwa msimu huu.

Kipigo cha moja bila kutoka kwa VfL Wolfsburg siku ya jumapili kiliwasukuma Werder Bremen chini zaidi katika msimano huku wakiwa juu ya Mainz pekee!

Mpaka sasa Werder Bremen wameshindwa kushinda katika jumla ya michezo yao 13 ya nyumbani na wamebakiwa na michezo minne tu kalba ligi haijatamatika.

50 Komentara

    Wapambe nafasi wanayowanawez wasishuke daraja

    Jibu

    Itawabidi wajipange vizuri ili waweze kushinda mechi zilizobakia kama wataweza ili wanusurike kushuku daraja

    Jibu

    Hawako makini na wanachofanya ,inabidi wafanye bidii ili waweze kupanda daraja.

    Jibu

    Pole yao

    Jibu

    Wajipange vizuri kwa kuanza upya kwa sasa awana lakufanya tena

    Jibu

    Ni habari mbaya itabidi wajitahidi wasishuke daraja

    Jibu

    Wajitahidi kupambana wasishuke daraja

    Jibu

    Habari mbaya kwa mashabik..

    Jibu

    Wachezaji wangejitahidi ili nawao angalau wapande daraja

    Jibu

    Si habari njema

    Jibu

    hapa inabidi wakaze hilo daraja la kwanza ili msimu ujao wapande daraja (ligi kuu)

    Jibu

    Bremen kazi wanayo ila wajipange msimu ujayo wanaweza wakapanda tena ligi kuu

    Jibu

    Dah! Wapambane sana wasishuke daraja

    Jibu

    Acha washuke daraja ndo watajifunza

    Jibu

    Wajipange vizuri ili msimu ujao wasishuke daraja

    Jibu

    Wapambane ili wasishuke daraja,

    Jibu

    walijibweteka na matokeo ya nyuma sasa ngoja washuke daraja akili itawakaa sawa

    Jibu

    Kazeni wanangu msishuke daraja

    Jibu

    Ninatakiwa wapambane wasishuke

    Jibu

    Msishuke daraja kazeni buti

    Jibu

    Bado mechi 4 ligi iishe hakuna maajabu wanaweza kufanya kubaki kwenye Bundesliga#meridianbettz

    Jibu

    Werder Bremen ni klabu kongwe wakaze buti wasalie ligi kuu

    Jibu

    Maisha ni kupanda na kushuka

    Jibu

    Wanaweza kushuka daraja maana wapo kwenye Hali mbaya sanaa

    Jibu

    Wajipange vizuli kwa kuanza upya#meridianbettz

    Jibu

    Bremen wajipange tena vizuri watafanikiwa sana

    Jibu

    Kweli Werder Bremen wapo vibaya sana

    Jibu

    Werder Bremen wajiange tena nafasi bado wanayo nzur

    Jibu

    dah werder bremen wanawakat mgumu sana..

    Jibu

    Duu pole yao

    Jibu

    Ndio ukatili wa matokeo ya mpira huo razima ashuke mwingine apande

    Jibu

    Wakaze buti wapande daraja
    #meridianbet

    Jibu

    Asante kwa taarifa#meridianbettz

    Jibu

    Mpira mchezo wakikatili inabidi wapambane wabaki kwenye ligi

    Jibu

    wakijipanga next season wamaweza fanya vizr na kurejea tena

    Jibu

    Wapambane wanawez salia kubak ligi kuu Kama nafas wanayo thnks meridian bet tz kwa update za michezo

    Jibu

    Duh majanga

    Jibu

    Mmmmh!! mambo yashakua magumu kwao wakajipange upyaaa

    Jibu

    Wajitaidi kucheza ili wasishuke daraja

    Jibu

    Wakaze tu mbona kila kitu kinawezekana.

    Jibu

    Wapambane mechi zilizo bakia wajikwamue kushuka daraj

    Jibu

    Wajitahidi kupambana wafanye vizuri mechi zilizobakia

    Jibu

    Tusiwavunje moyo bado mda upo wapambaneee tu

    Jibu

    Akajipange upya tu

    Jibu

    Ahsante kwa taarifa #meridianbettz

    Jibu

    Dah sio poa wajipange vizur

    Jibu

    Wajipange wasikate tamaa

    Jibu

    Wajitahidi wafanye vizur mechi zilizobakia

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.