Mashetani wekundu hawajaanza leo kubamba kwa taarifa za kuiwinda saini ya Jadon Sancho. Mwezi Machi mwaka jana, waligonga vichwa vya habari kuwa kwenye mpango kabambe wa kumwaga pesa kumnasa nyota huyo wa Borussiaa Dortmund.
Ripoti zinataja kuwa hadi leo hii, Man United wamekuwa wakikutana na vikwazo kumnasa nyota huyu aliyeripotiwa kuwa na thamani ya paundi milioni 100.
Kwa sasa dau lake linatarajiwa kushuka kwenye soko la sasa baada ya Corona japokuwa Dortmund wanaonekana kuwa wagumu kiasi kwa hilo.
Man U walitaka kumnunua staa huyu mwaka 2017 kutokea Manchester City. Manchester City walikataa ofa yao na kuamua kumuuza kwa Dortmund kwa £8m.
Ni ndani ya miaka mitatu tu, ada thamani ya staa huyu imeendelea kupanda. Staa huyu amekuwa ni ‘levo’ zingine kabisa kwa sasa, tofauti na alivyokuwa anauzwa na City.
Katika dirisha hili la uhamisho, Man United walitarajia ushindani kutoka kwa Chelsea. Lakini baada ya Chelsea kuonekana akihamishia kipaumbele chake kwa Hakim Ziyech na Timo Werner, United wanahisi ahueni, lakini bado kuna wasi wasi kama uhamisho utakamilika.
Hakuna uhaba wa mechi za kubashiri Meridianbet!Bashiri Esporsts


Theckla
Sancho anajielewa na ndio maana anawindwa sana
mwakalosi
sancho hana thamani ya zaid pauni milion 50
Tahiya
Kwani mnakwama wapi na nyie man united
christopher
Wamechelewa , wangemchukua wakati hajawas star,
Rehema Dickson
Ukiona ivyo thaman yake ishashuka Hana mashiko ndo sababu kubwa iyo
felister
sasa man u kama walishindwa kumpata mwaka jana wataweza kumpata kweli asa ivi thamani yake imepanda…?
Ester jackson
Mmmh jamaa mbona hana bahati na ikiwa dau lake dogo
Samiah
Maskini hana bahati
Rehema
Asante kwa makala mzuri meridianbet
Sadick
Hizo ni mbinu tu mawakala kupandisha thamani ya mchezaji #meridianbettz
Antony Luseno
Apo ndo man united ndo uwa inafeli kama hela ipo wakate mzizi wa fitina wamsajili
Warda
Bora apate nafasi Manchester #Meridianbettz
Amani
sancho hana thamani ya zaid pauni milion 50 nikijana mdogo anayejua Nini anafanya uwanjani
Gabriel
Man u hawana hela
Genia Sikaluzwe
Duuuuh Sancho anajielewa Sana ndiyo maana anawindwa
Neema hassan
Sancho mchezaji mahiri wapandishe dau hlo..
David Pere
Inabidi waongeze bidii ili wampate huyu dogo ni mchezaji nzuri sanaa
Devotha
Wazidi kupambana watafanikiwa kumpata
Emmy cleopa
Wapambane tu watafanikiwa
Hope mwaikuka
Penye nia
Mwanaidi
Bado hawana kitu man u
JULIANA
Sancho mtu hatari,bora tu aende man
Johnmary joel
Sancho ni mchezaji mzuri lazima wamfukuzie#meridianbet
Hamidu
Sancho talent player.#meridianbettz
Ernest
Pesa ndo inaongea siku hizi hakuna maneno maneno kwenye soka
Neema juma
Wapambane tu watampataa
winfrida
sancho mchezaji mzuri
Mwanahamisi
Wapambane tuu mafanikio watayaona
Dorophina
Sancho Ni mchezaji mzuri lkn hajafikia thamani ya hiyo pesa
Povel
Sancho yupo vzr sana
Kenani
Wanakwama wap sas
Shafii
Waweke mzigo wa kutosha mezani watampata tu
Magdalena
Wakazane kuweka mzigo watampata
Mwajuma
Talent player
Theonestina
Sancho yupo vizur Sana uwanjani
Salma
Man u mnakwama WAP??
isha
Sancho yuko vizuri sana
Adelta
Sancho mchezaji mzuri
Asia Abdy
Sancho fundi
Frank Patrick
Waingereza wanawavalue sana wachezaji wao sasa bei hiyo naona inawapa shida united
lombo
Waweke kitita tu mezan hakuna kinachoshindika
Caroline
Sancho yupo vizuri
Evaluziga
Sancho Yuko vizuri ndio maana anapendwa sana
Lydia Emmanuel Magoti
Wana kwama wapi sasa
Furahav
Yuko vizuri.
Issa
Sancho ni noma sana