Ligi za Mpira wa Miguu zitaruhusiwa kufungua dirisha usajili endapo watakapomaliza Ligi zao kwa sheria mpya za FIFA zilizotangazwa Alhamisi.
Shirikisho hilo la mpira Duniani FIFA limefikia uamuzi wakutangaza kanuni hizo mpya baada ya Ligi nyingi kuchelewa kumalizika kwasababu ya Janga la Corona.
Tayari Mtendaji Mkuu wa Premier League, Richard Masters amesema Ligi kuu ya Uingereza haitaruhusu vilabu visajili mchezaji kabla ya Julai 25 baada ya Ligi kuchelea kumalizika.

Ligi nyingi za Ulaya walikuwa na mpango sawa, lakini kwa kanuni mpya za FIFA itawaruhusu kufungua madirisha ya usajili mapema kutokana na mabadiliko ya ratiba ya msimu 2019-20.
Fifa pia imesema wachezaji wataruhusiwa kucheza klabu tatu tofauti kwa msimu mmoja tofauti na zamani ambao walikuwa wakicheza timu mbili kwa msimu.
Premier League itarejea 17 Juni na ikiwa kila klabu ina mechi sawa za kucheza, wakati FA Cup, Champions League na Europa League yanatakiwa kumalizika pia.


Caroline
Corona itaisha tuu
Mwanaidi
Duuh corona imebadilisha vitu vingi sana ila mungu mkubwa mambo yatakuwa sawa tuu
Furahav
Corona noma
Rehema
Duuh! Corona ni ugonjwa mbaya sn
Gabriel
Alichokiongea Richard Master mwenyekiti wa shirikisho la mpira wa FIFA kutokana na sheria ambazo zimejitokeza kipindi hiki cha corona n nzur maana inawalinda wacheza sana
Sadick
Covid 19 umesababisha mambo mengi kubadilika. Ni jambo jema wameliona hilo na kufanyia kazi #meridianbettz
Khadija
Daah corona ni ugonjwa hatari sana ##meridianbettz
Elika
Natumai covid iliisha kila kitu kitakuwa sawa
Lydia Emmanuel Magoti
Duu corona imelostisha kilakitu Mambo yameludi nyuma Sana
Dorophina
Corona imeharibu kila kitu
Shafii
Duh sio poa
Salma
Duh! Corona noma
Hope mwaikuka
Mungu ni mwema
Hamidu
Asante kwa taarifa#meridianbettz
Neema hassan
Corona janga la taifa
David Pere
FIFA wamegundua kitu ,sababu wakifungua Sasa hivi madrisha ya usajili ,wachezaji vichwa vyao havitatulia wakiwa uwanjani so timu itapata matokeo hasi
Genia Sikaluzwe
Corona siyo ugonjwa mzuri
Theckla
Kila Jambo Lina mwanzo na mwisho
Ester jackson
Safii sana mungu yupo pamoja nasi na kila kitu kitakuwa sawa tu
Magdalena
Huu ugonjwa umekuwa gumzo Kila Kona umebadili kila mipango
Zeiyana
Daaah..!mungu atasaidia litapita ili gonjwa
Frank Patrick
Hii sasa kali
Rehema Dickson
corona imebadilisha vitu vingi sana ila mungu mkubwa mambo yatakuwa sawa tuu
Amani
Alichokiongea Richard Master mwenyekiti wa shirikisho la mpira wa FIFA kutokana na sheria#meridianbettz
felister
hili ni janga la dunia nzima
Ernest
Daaah hapa tutawamis baadhi ya wachezaji ambao tulitaraji watakipiga mapema tuu.
Sylvester
Hii nzuri Sana kwani vilabu vingivitakua na mda wa kutosha kufanya usajili#meridianbettz
Mwajuma
Duu corona imebadili kila kitu
Samiah
Daah corona imeharibu kila kitu
Agness
Corona ni Moto wa kuotea mbali
Adelta
Mungu Ni mwema corona itaisha
mwakalosi
fifa ingewasaidia na kuwakopesha pesa maana vilabu vingi vimepata matatizo ya kipesa ili waweze kufanya hizo sajiri
Hidaya
Corona ni hatari sana imeharibu mipango ya watu
Isaya massawe
Sio mbaya maamuzi mazuri walofanya fifa
Evaluziga
Corona inatisha jamani
lombo
duh haya bhn
Mwanahamisi
Hii Sasa balaa
warda
Inabidi iwe hivyo mana hakuna jinsi#Meridianbettz
Emmy cleopa
Duuuh sio poa
Mariam mtandama
Duuuh
isha
duuh sio powa
Povel
Duh habar njema
Theonestina
Duuuh
Latifa juma mohamed
Covid 19 ,ni hatari ,inabid club iwasaidie kwa Hali na mali