Mchezo wa nusu fainali ya pili ya Coppa Italia kati ya Juventus dhidi ya AC Milan umemalizika kwa sare ya bila kufungana (0-0).
Matokeo hayo yamewafanya Juventus wasonge mbele katika hatua inayoufuata, yaani fainali licha ya matokeo ya mechi ya nusu fainali ya kwanza ambapo walitoa sare pia lakini ya 1-1, hivyo basi Juventus amepita kwa faida ya goli la ugenini.
Hata hivyo Juventus wangemaliza kazi mapema katika dakika ya 16 tu ya mchezo ambapo Juventus walizawadiwa mkwaju wa penati mara baada ya VAR kuthibitisha kuwa mchezaji wa AC Milan aliunawa mpira katika eneo la hatari lakini Christiano Ronaldo aliyepewa jukumu la kupiga penati akakosa kwa kugongesha kwenye mambo.
Mchezo wa fainali utachezwa siku ya Jumatano na unatarajiwa kuwakutanisha Juve na mshindi wa mechi ya Napoli dhidi ya Inter Milan ambao utapigwa leo.
Gemu zingine kuelekea mwisho wa wiki
Kwingineko Hispania, Getafe wamekubali kipigo cha magoli mawili kwa kwa moja kutoka kwa Granada huku Levante wakimlazimisha Valencia kwa sare ya 1-1.
Ligi kuu ya Ujerumani, Bundesliga imeendelea kwa mchezo mmoja uliowakutanisha RB Leipzig dhidi ya Hoffenheim na RB Leipzig wamefanikiwa kushinda 2-0.


Leonard
Hongera juve kutinga nusu fainal
Hamidu
Juventus ndo bingwa wao!Ana mpinzani kwa Italy#meridianbettz
Tahiya
Big up Juventus
Salma
Bahati ipo kwao juve hongera yao
Elika
Hongera sana juventus.kwa kufikia hatua hiyooo
felister
juve 💪💪💪
Antony Luseno
Penalti haina mwenyewe
Devotha
Hongera sana juventus kwa kuipambania nafasi ya finally
mwakalosi
juventus kwa italia hana mpinzani sasa
Lydia Emmanuel Magoti
Juventus wamepambana kupata ubingwa huo haki yaho tuu kupamba nakuigombani nafasi hiyo
warda
Jana Milani walikaza sana ila sio mbaya#Meridianbettz
lombo
habar njema kwa juve chama langu
Genia Sikaluzwe
Juventus kwa sasa mko vizuri
Rehema
Safi sn juventus
Mwanahamisi
Hongera yao juventus
Johnmary joel
Kweli mpira hauna mwenyewe popote la weza kutokea hongera juve#meridianbetz
Caroline
Hongera kwenu Juve
Sadick
CR7 ni hii? Kukaa miezi 3 bila mechi washambuliaji wanakuwa butu. Hongera Juventus#meridianbettz
Gabriel
Jana gemu ilikuwa ngumu tena sana maana huku lukaku milan huku CR 7 juve mpira si wakitoto jaman gemu ilikuwa ngumu pande zote ila hongeren juve kwa kupigania finally big up
Emmy cleopa
Hongera zenu juve
Dorophina
Hongera juve
Samiah
Hongera kwa juve
Khadija
Hongera sana juve kwani ww ndio bingwa wao##meridianbettz
Mariam mtandama
Juventus wako vizur sana
Theckla
Hongera kwa juve waendelee kukaza buti
Aziza mushi
Hongera Sana kwa juve wakaze hivyo hivyo
isha
Juve pongezi kwenu ila msibweteke
Adelta
Juventus ndiyo bigwa
Evaluziga
Hongera juve kutinga nusubfainali
Rehema Dickson
mpira hauna mwenyewe popote la weza kutokea hongera Juventus
Furahav
Juve wanabahati sana.
Neema hassan
Hongera juventus
Ester jackson
Kuwa Star sio kila kitu unaweza mengine huwa unatakiwa uwaachie wengine
Amani
Juventus Ana mpinzani kwa Italy#meridianbettz
Gabriel
Jana gemu ilikuwa ngumu tena sana maana huku lukaku milan huku CR 7 juve mpira si wakitoto jaman gemu ilikuwa ngumu pande zote ila hongeren juve kwa kupigania finally big up
Hope mwaikuka
💪💪
Povel
Hongera Juventus🤝🤝
Zeiyana
Nawaona mabingwa juve
Theonestina
Naimani juve watachukuwa kombe
Mwajuma
Hongera kwao
Christopher
Mara chache sana kuona huyu jamaa anakosa penalty, ila sio mbaya jwa sababu timu imefuzu to next round
David Pere
Wametinga fainali kibahati Sana mwaka huu
Mwanaidi
Daah ni bahati yao
Shafii
Juve anastahili pongezi ila penati hainaga mwenyewe yeyote yule anaweza akakosa
Magdalena
Juventus wanaeleweka Sana nawapa pongezi nyingi
Agness
Hongera zao
Samira
Juventus wapo vizuri