Meneja wa Manchester United amamkingia kifua golikipa David de Gea na kusema kuwa ndiye golikipa wake ndiye bora zaidi duniani.
Meneja amemtaja golikipwa wake, De Gea kuwa ndiye golikipa bora duniani huku akibainisha kuwa Dean Henderson atakuja kuwa golikipa namba 1 wa Uingereza na Manchester United.
De Gea amekuwa akikosolewa zaidi miezi ya hivi karibuni. Huku makosa aliyofanya kwenye mechi waliyotoa sare dhidi ya Tottenham yakiwakumbusha mashabiki na baadhi ya wadau kuvurunda kwake kwenye mechi zilizopita.
Hata hivyo, hii inakuwa tofauti kwa meneja Solskjaer ambaye bado ana imani na golikipa wake. Meneja anasema makosa yake madogo madogo siyo ya kujirudia na amekuwa akifanya kazi kubwa sana kujifunza na kurekebisha.
“Hafanyi makosa unayoyaona kila mara, amekuwa akifanya bidii sana kwenye mazoezi. Ninafurahishwa na juhudi zake. David ni golikipa bora duniani. Ameruhusu magoli 2 katika mechi zake 7 alizocheza hivi karibuni.” -Ole Gunnar Solskjaer
Lakini, Ole Gunnar anafahamu kuwa Henderson ndiye atakayekuja kuchukua nafasi ya De Gea. Amebainisha mtazamo wake kuwa golikipa huyu ambaye amefanya vyema akitumikia kwa mkopo Sheffield United atakuwa golikipa namba moja kwa klabu ya United na pia kwa timu ya Taifa ya Uingereza.


Ester jackson
Hakika hilo kocha alilolisema ni sawa kabisa kwa mashabiki siku zote huwa tunataka mambo yaweazuri ila kama wewe kocha unaimani kuwa de gea yuko vizuri ingawa kunamakosa madogo madogo yanajitokeza basi wewe unaweza kumfanya akawa bora zaidi na kusawazisha mawazo yakutokuwa bora kwake na mashabiki tukamuona wa muhimu ## meridianbettz
Gabriel
Ukwel lazma usemeke me upande wng namkubal sana garl Neville kuwa alichokizungumza baada ya mech waliyocheza na Hotspur yuko sahihi japo de gea n golikipa mzur sana lakin ole Gunnar hakupaswa kumsimfia mapema wakati tunaona makosa yake kibao ambayo mengi n ya kujirudia ambayo yanaweza kubadilishika ila yy anafanya kusudi kabisa hivyo kwa kitendo cha ole Gunnar kumkingia kifua de gea
pamoja na kusema kuwa ndo
golikipa bora dunian huo n
mtazamo wake sio kwa wanaojua mpira
# meridianBetTZ
Zeiyana
Kitendo cha ole Gunnar kumkingia kifua de gea na kusema ndio goli kipa bola huo ni mtizamo wake na sio kwa wote wanao jua mpira
Povel
Thnks meridian bet tz kwa information za kisport
Njiku
Kutokana na uzembe wa de gea inabidi apate funzo kwa kuletewa kipa mwingine ile kuwa kipa namba moja kwa mokosa yake madogo madogo hapaswi kukingiwa kifua,ole gunnar hanakosea sana kwa kumsifia de gea ipo wazi sana issu hii hata neville aliongelea hili swala kuwa de gea anaikosti timu magoli ya uzembe yakiwa yanajirudia mara kwa mara tumechoka na uzembe huo bora hunderson aje kukavaa
Issa
De gea ni kipa mzuri pia makosa ni kawaida kwa makipa la msingi ole
Amiri Kayera
Ni kwer ata kwangu bado de gea ni kipa namba moja.
isha
Hata mimi namkubali yuko vizuri
warda
Huyu Meneja nae asituchoshe De gea kimeo kwa sasa#Meridianbettz
Tahiya
Ni kipa mzur ila anamapungufu yake mengi uwanjani
Shafii
De Gea no kopa Bora ila kukosea kupo na mpira no mchezo wa makosa
Omary lukumbi
Hilo halina ubishi kwa kusema hvyo ole gunnar kwa goli kipa wake kwa de gea n golikipa bora tuu huwez kufuta mazur yake kwa makosa yaliyo jitokeza hiv karibun na ni chaguo la ole gunnar na makocha wengi waliopita
Edgar
ni kweli kabisa degea yupo vzr na kula jambo lanaitaji uvumilivu coz degea atakaa sawa tu
Mwajuma
Kama anamkubali siombaya chamuhimu amwambie ajilekebishe
Mwanaidi
Yupo vizuri ila inabidi apunguze uzembe anapokuwa uwanjani
Hamidu
David Gea ni mchezaji muhimu kwa man utd ..muda wote nakubali Sana
Furahav
Ni kweli yuko vizuri.
Sabrina
Maoni:David De Gea ni kipa mzuri sana.
Theckla
Namkubali Sana
fatumakasomo
Yupo vizur apunguze uzembe uwanjani
Theonestina
Yuko vizur namsubir
Theonestina
Yuko vizur Sana namkubar
Aziza mushi
Yupo vizuri Sana namkubali👍
Samiah
Kipa mzuri sanaa lkn anamapungufu yake
mwakalosi
hakuna aliyetiashaka kuhusu ubora wake ila kiwango chake kwa sasa kimeshuka sana tofauti na alivyokuwa misimu miwili nyuma
Rehema
Namkubari Yuko poa
Leonard
De Gea bora sana
Mwanahamisi
Yuko vizuri sana namkubali kinoma
Elika
Hata hivyo de gea ni kipa bora..aliyoyasema kocha yuko sahihi
Magdalena
Mbali na De gea kuwa kipa Bora na ana manufaa pia katika timu lakini sisi tumekuwa tukihukumu kulingana na mistakes zake wakati yapo na mazuri pia alofanya ila hqtuyaoni
Neema juma
Sawa yuko vzr ila asimsifie sana mwishowe akaharibu mambo
Caroline
Ila kweli De gea yupo vizuri
felister
De gea golikipa mzuri ayo makosa madogo madogo yanaweza kuslovika
Dorophina
Kocha anaficha maovu wakati juzi kafanya vibaya kwenye mechi inatakiwa apate adhabu ili asirudie tena
Khadija
De gea yupo vizuri hila apunguze uzembe#meridianbettz
Genia Sikaluzwe
De gea ni fundi wa mpira
warda
Henderson yupo vizuri sana#Meridianbettz
Salma
Ni kipa mzuri japo ajakamilika kila k2
Amani
kocha unaimani kuwa de gea yuko vizuri ingawa kunamakosa madogo madogo yanajitokeza basi wewe unaweza kumfanya akawa bora zaidi na kusawazisha mawazo yakutokuwa bora kwake na mashabiki tukamuona wa muhimu ## meridianbettz
Evaluziga
Hata mm namkubali sana
David Pere
Hiyo Ndio kazi kocha lazima amkingie kifua
Mathayo sonje
Ni sehemu ya kazi yake
Sadick
Kazi ya Kocha ni kuwatia moyo wachezaji wanapokosea. Kocha makini hawezi kusema mapungufu ya mchezaji hadharani. Ole yupo sahihi#meridianbettz
Devotha
Nakubali👏de gea ni goli kipa mzuri sana bado ni bora zaidi uingereza
Hope mwaikuka
Anajielewa sana
Ernest
Nimefurahi kuona Ole Gunnar kuheshimu mchango wa De Gea ndani ya Man U
Agness
Nimakala nzuri
Samira
Ole Gunnar yupo sahihi De gea ni goli kiba bora makosa madogo hayawezi kukosekana kama binadamu
Angelina
Huo ni mtazamo wake kuna wazuri zaidi yake
Emmy cleopa
Yuko vizuri sana ila ahsante meridian kwa taarifa
Mwanaidi
makala nzuri za michezo tunazipata hapa
Asia Abdy
Ni sawa n sehem yakaz yake