Roma wanazama dimbani bila Juan Jesus, lakini watakuwa na Amadou Diawara na Davide Zappacosta kwenye mchuano dhidi ya Sampodoria ambao pia wanazama tena dimbani bila kuwa na Fabio Quaglierella.
Hii ni gemu ya kwanza kwa Roma tangia wanatoka karantini, wanapambana dhidi ya meneja wao wa zamani Claudio Ranieri wa akiwa na Sampodoria. Giallorossi tayari wamejikuta wakitupwa mbali kwenye nafasi 4 za juu kwenye msimamo wa ligi.
Sampodoria wao walichapwa 2-1 dhidi ya Inter Jumapili laikini wametishida kurejea kwa kishindo kwenye mechi hii dhidi ya Sampodoria.
Fomu ya timu katika mechi 5 zilizopita
Roma : W W L L L
Sampdoria : L W L W L
W -Alizoshinda L-Alizopoteza
Vikosi vinavyotarajiwa
Roma (4-2-3-1): Mirante; Zappacosta, Mancini, Smalling, Kolarov; Diawara, Veretout; Perez, Pellegrini, Mkhitaryan; Dzeko
Sampdoria (3-5-2): Audero; Bereszynski, Tonelli, Yoshida; Depaoli, Ekdal, Linetty, Jankto, Murru; Ramirez, Gabbiadini


Shafii
Mechi nzuri Sana ila Roma anaibuka kidedea 2-0
Ester jackson
Hakika litakuwa benge laechi la kupasha misuli tunasubiri tu tuone Roma afanye maajabu yake
Issa
Vikosi poa ila sampdoria ni timu ambayo haifai kubeza
Sadick
Mechi hii inaweza kutoa nafasi kwa Roma kuisogelea Atalanta nafasi ya 4 msimu ujao icheze UEFA Champins League#meridianbettz
farida ahmadi
Vikosi vzr Sana hivy Asante meridian
bettz kwa taarifa
Ester mmakasa
Asante meridianbet kwa kutujulisha vikosi vinavoendelea.
Gabriel
Hii itakuwa bonge la mechi maana sampodoria inabid washinde ili wapande nafas maana msimu uliopita walipigwa na inter magol mawili kwa moja na kumfanya ashuke licha ya kuwa alijitahid kujitetea sana lakin ikashindikana kwa hiyo wanaohitaji kukusanya point kutoka kwa Roma
Na upande wa Roma na wanakibarua kizito kwan watamkosa Juan Jesus kiungo wao na hii ndo mechi yao ya Kwanza wakiwa nyuman wanatakiwa washinde ili waweze kutetea nafasi yao ya ushindi maana tokea watoke karantini now ndo wanafungua dimaba na Moto wa hatar
Lakin ukiangalia mifumo yao yote n mizur sana kwa upande wa Roma wanatumia
4-2-3-1 na upande wa sampodoria wao wanatumia 3-5-3-1 hivyo n mtanange mzur sana
Shukran meridianBetTZ kwa taarifa
# meridianbet Tanzania
Njiku
Hii sifa
Hope mwaikuka
Kuna kaz hapo
Salma
Kazi ipo
isha
Mtanange huo ni balaaa mimi nasubili matokeo
Povel
Don’t miss
Njiku
Litakufa jitu hapo sio kwa vikosi hivyo
Neema hassan
Bonge la mechi roma ushindi lazima
Aziza mushi
Mechii nzuri Sana Roma lazma aibuke na ushindi
Omary lukumbi
Roma leo atashinda tuu ila kwa goli chache tuu ili kupunguza gepu la point 4
Hamidu
Game tamu Sana hiyo..kwangu. Naona GG3+ wazee wakubet fursa hiyo hapo
Ernest
Hii mechi magoli mengi kipindi cha pili.
Sabrina
Maoni:Hii gemu itakua hataree
Amiri Kayera
Ni mechi muhim Sana Kwa wote
Mwajuma
Kitawaka leo
Hidaya
Bonge la game mapema tu kideoni
Latifa juma mohamed
Game kabambe Sana , kikosi Cha Roma kipo poa ,wazee majamvi msikose mtanange huu Roma be the winner for this match.
Fatuma kasomo
Roma anashinda
mwakalosi
smalling amekuwa na msimu mzuri italia
Magdalena
Hii mechi ni 2-4
Samira
Hii mechi itakua na magoli mengi vipindi vyote
Agness
Bonge la mechi
Rehema
Eeeeh! Bwanaee bonge la mechi
Dorophina
Hii mechi ni kali kinoma lazima kieleweke tu
Angelina
Roma hana mpinzani#meridianbettz
Genia Sikaluzwe
Hapo lazima pachimbike na Kila mtu mkali kwa mwenzake
Elika
Naona kikosi cha Roma kimejipanga vilivyo nategemea kuona magoli yakifungwa na dzeko
Caroline
Gemu ya Kwanza toka quarantine.tunaisubiri Kwa hamu
warda
Roma amepunzika sana vya kuosha apa sasa ushindi kwake ni lazima#Meridianbettz
Lydia Emmanuel Magoti
Mechi zipo poa ila Kuna kazi apo
Khadija
Eeeeh bwana itakuwa bonge la mechi#meridianbettz
Devotha
Roma lazima ashinde
Zeiyana
Roma wakaze misuli sana mechi hii wakishinda inawepelekea hadi kuisogelea Atalanta nafasi ya 4 msimu ujao icheze UEFA champion league
Emmy cleopa
Mechi kali sana hii mm nasubiri matokeo tu
Samiah
Kazi ipo hapo
Mariam mtandama
Duuuh
Adelta
Roma kazi ipo
Furahav
Roma wanatakiwa wapambane sana.
Mwanaidi
Asante kwa makala za michezo meridianbettz
David Pere
Vipo vizuri sanaa
Theonestina
Ilikuwa bonge la mechi
Amani
nafasi kwa Roma kuisogelea Atalanta nafasi ya 4 msimu ujao icheze UEFA Champins League#meridianbettz
Hilda
Hiyo mechi itakuwa babu kubwa
felister
ulikua mtanange wa kuotea na moto
Asia Abdy
Mambo yalikua motoo