David Luiz Aongeza Mkataba Wake Arsenal

Arsenal wameamua kumuongeza Luiz mkataba wa mwaka mmoja zaidi.

kocha wa Arsenal, Mikel Arteta ameendelea kujihakikishia kikosi chake cha msimu ujao kinasimama katika kipindi hiki cha shida ya kiuchumi baada ya janga la Corona.

Arsenal wametangaza kuwa David Luiz amesaini nyongeza ya mwaka mmoja kwenye mkataba wake, wakati wachezaji waliokuwepo kwa mkopo Cedric Soares na Pablo Mari wakisaini mikataba ya kudumu.

Staa huyu ambaye saini yake ilinaswa akitokea Chelsea, amekuwa akipanda na kushuka kwenye chati kwa kiasi chake kwa mda aliokuwa na The Gunners!

Mkurugenzi wa kiufundi wa bwana Edu Gaspar, anasema kuwa mlinzi huyu ni sehemu muhimu ya klabu. Amecheza mechi nyingi zinazomfanya aendelee kuwa muhimu klabuni hapo.

“David ni mchezaji muhimu sana kwetu. Amecheza mechi zetu nyingi msimu huu na amekuwa mchezaji muhimu kwa timu. Pasi zake, mawasiliano yake na timu ndani na nje ya uwanja. Anamsaidia kila mtu.” -Edu Gaspar

Walinzi wenzake Mari kutoka Flamengo na Cedric kutoka Southampton pia wameungana naye wakikamilisha kusaini mikataba yao ya kudumu.

51 Komentara

    Habar njema kwa wapenz wake na mashabiki wake kila la kheri

    Jibu

    Kweli wamekwama Hawa jamaa

    Jibu

    Wapenz wa arsenal tunapenda kumuita beki kisiki kutoka sehemu ambayo inapozalisha wachezaji wazur
    Tunapomzungumzia David Luiz msimu wa kombe la dunia tunatambua uwezo wa huyu beki hivyo kitendo cha
    kuongeza mkataba n habar njema sana
    kwa wapenz wa club ya arsenal
    kuendelea na mchezaji wetu
    Have a great news 👍
    #meridianbettz

    Jibu

    David luiz msimu wa kombe la dunia tunatambua sana uwezo wa huyu beki kitendo cha kuongeza mkataba ni habari njema kwa mashabiki wa clabu ya arsenal

    Jibu

    Ssfi sana atasaidia pia the gunners

    Jibu

    Hongera Luiz

    Jibu

    Ni habari njema kwa wapenzi wa arsenal

    Jibu

    Habari nzuri kwa mashabiki wa arsenal! Nategemeaa atawafanyia mazuri#meridianbettz

    Jibu

    Habari motomoto ni wakati wake na arsenal kusahihisha pale walipokosea

    Jibu

    Kwetu mashabiki tulidhani angeondoka baada ya msimu kumalizika lakini Club ina mipango mingine. Hongera kwake#meridianbettz

    Jibu

    Duuh tumefurahi sana naona unaendelea kutupa nguvu sisi mashabiki wa Arsenal

    Jibu

    Ni habari nzuri

    Jibu

    Atawasaidia arsenal kwa kipindi hichi kigumu kwao ila Ruiz kiukweli mpira umeisha

    Jibu

    Vzr San kwani Arsenal ni timu bora Sana na pia Bado ina nafasi hata katika msimu hujao sio mbaya David luiz akiongeza mkataba arsenal

    Jibu

    Daaah inakera sana kwa mashabiki wa arsenal amefurahia sana kumpata beki luiz ila kwa sisi mashabiki wa luiz hatujapenda mana anazidi kuwa chini ya kiwango in bora kama angeondoka arsenal

    Jibu

    Haya sasa Luiz sisi yetu macho ni matumaini yetu utafanya mambo mkubwa ukiwa arsenal.

    Jibu

    Nmeipenda hii

    Jibu

    David luiz yupo poa na beki mzuri sana licha ya timu yake kusuasua ila anaonyesha kiwango chake bado mpka edu gaspar akimsifia beki hyo nyota wa brazil,sio mbaya kwake kusaini mwaka mmoja katika klabu hiyo haweze kusaini mda mrefu kwa timu kama the gunners atashusha kiwango chake na kwamchezaji ka luiz anataka kucheza uefa na kutapa hata taji la iefa ila sio kwa arsenal miaka mia bora asepe

    Jibu

    Habari njema kwa wapenzi wa soka

    Jibu

    Habari njema kwa mashabiki wa Arsenal.

    Jibu

    David luiz n beki mzr sema mchomaj sana anapandisha vzr timu mziki sasa kurudi kuja kusaidia kukaba ndio mtihan hii tabia hua anayo na achelewi kuigharimu timu

    Jibu

    Mhhh hii ni habari ya kushangaza sana, David Luiz kuendelea kusalia ndani ya Arsenal!!????

    Jibu

    Maoni:Hii safi sana Arsenal bado wanamuhitaji David Luiz.

    Jibu

    Arsenal wamekosa beki mm ata simkubar uyu jamaa

    Jibu

    Beki kisiki

    Jibu

    Hongera mzidi kuonheza juhudi arsenal bado matokeo hayaridhishi#meridianbett

    Jibu

    Habar njema , labda tutabadilisha upande wa matokeo yaweza now yakawa njema kwa usahil huo

    Jibu

    Atawasadia arsenal katika kipindi hiki kigumu

    Jibu

    jamani kuna corona halafu kuna arsenal haya ni magonjwa yanayoua na kukondesha kupewa mkataba luiz kuna watu washapelekwa icu

    Jibu

    Kama shabiki wa arsenal naona Luiz msimu ukiisha aende tu

    Jibu

    Luiz namkubali Yuko vizuri

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Good news kwa mashabiki wa Arsenal

    Jibu

    Hii habari ya kushangaza kabisa, ila maybe reason behind ni kwamba kuna majeruhi mengi pale sana sana in defence.

    Jibu

    Sijui wanakwama wapi

    Jibu

    Sio mbaya acha abaki mana anajitahidi sana

    Jibu

    Hii niabari yakushangaza Sana David Luiz kusalia Tena ndani ya Arsenal

    Jibu

    Tumefurahi sana mashabiki wa Arsenal aendelee kutupa nguvu#meridianbettz

    Jibu

    Safi sana ni jambo zuri kwa mashabiki wa arsenal

    Jibu

    Habari njema kwa mashabiki

    Jibu

    Luiz anatisha

    Jibu

    Good news kwa mashabiki wake

    Jibu

    Habari mjema

    Jibu

    Duu hii kali Galasa bado linabaki Arsenal……….??????#meridianbettz

    Jibu

    Hongera ila punguza mapepe.

    Jibu

    Hongera yake

    Jibu

    angeondoka baada ya msimu kumalizika lakini Club ina mipango mingine. Hongera kwake#meridianbettz

    Jibu

    Good

    Jibu

    habari nzuri kwa mashabiki wa arsenal

    Jibu

    Good News

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.