David Alaba bado hajakubali kuongeza mkataba na Bayern Munich, lakini kocha Hansi Flick amesema itakuwa maalumu kama atamaliza kucheza soka lake akiwa Allianz Arena.
Dili ya Mchezaji huyo wa kimataifa kutoka nchini Australia inakaribia kuisha kunako klabu ya Bayern Munich na vilabu vilivyoonesha nia ya kutaka kumsajili mlinzi huyo ni PSG, Barcelona,Chelsea na Manchester City.
Kufuatia ushindi wa 4-2 dhidi ya Bayer Leverkusen siku ya Jumamosi, Bayern walifanikiwa kutwaa ubingwa wa DFB-Pokal. Alaba ndiyo alianza kufunga katika fainali hiyo , Flick amesema alikuwa na nia ya kumpa mkataba mwingine Alaba mwenye umri wa miaka 28 na Thiago Alcantara.

Walakini, bosi huyo wa Bayern Munich alieleza kwamba “itakuwa ngumu” kumbakisha Thiago ambaye amekuwa akihusishwa kuhamia klabu ya Liverpool ambao ni Mabingwa wapya wa EPL.
“Nitasimama kuhakikisha nafanya kila kitu kuwabakisha katika timu wachezaji hawa wawili wenye vipaji vikubwa,” alisema Flick.
“David amekuwa ni mchezaji wa kipekee hapa klabuni, sio tuu uwanjani bali amekuwa ni mzuri kwetu sisi.
“Anajua kuwa anakubalika sana katika klabu.Itakuwa muhimu sana kama atamalizia soka lake hapa akiwa nasi.”


Frank Patrick
Alaba anapaswa kulitilia umakini hili Bayern imemkubali sana
Povel
Alaba ni mmoja ya wachez waliofany mapinduz makubw Sana Allianz ARENA Kama hata salia itakuwah Jambo kubwa sana kwa club thnks meridian kwa update
Theonestina
Itakuwa poa sana.aongeze bidii tu
Sadick
Ni jambo la kutia moyo unapoendelea kuthaminiwa na kuhitajika na Klabu unayoitumikia. Inawezekana Alaba anataka kupata changamoto nyingine mahali pengine#meridianbettz
Evaluziga
Asanteni kwa taarifa
Issa
Wachezaji
Furahav
Alaba namkubali sana,beki kisiki anatakiwa kutulia hapo.
Issa
Wachezaji mahiri kama hawa huwa awawezi kubakia katika vilabu vilivyowakuza na huitaji kucheza kwingine kwa sababu ya umahiri wao na kujiongezea kipato
Omary lukumbi
Jambo zur na la kupendeza alaba akimaliza maisha yake ya soka akiwa munich n mpambanaji sana
Amiri Kayera
Bola abaki t maan ndo upepo wake wa mafanikio nd ulipo
Samiah
Upepo wake wamafanikio ndio ulipo
mwakalosi
ni muda kutafuta challenge mpya sasa
Edgar
Hana weza tu na nisawa coz sijaona timu ya kufanana nae
Devotha
Ni beki mzuri sana amekubalika
Revina
Alamba ni kifaa ila alitakiwa aende sehemu nyingine ili kupata uzoefu zaidi ,pamoja na timu yake kumkubali .
Njiku
Fundi wa mpira safii sana
Sabrina
Maoni:Bora abaki tu
Franky
David Alaba ni mchezaji mzuri sana ila tatizo maslahi ndo shida
Sylvester
Mimi naona anaweza kwenda kwingine kwenye klabu kubwa kujiwekea historia zaidi katika soka lake kwani keshaweka jina pale Bayern na bado anauwezo wa kucheza popote
Shafii
Tangu nimjue Huyo jamaa had Leo bado yupo hapo hapo tu angefanya mpango akamalizie career yake ya mpira club nyingine.
Saupha mohamed
Jamaa anajitaidi sana
Theckla
Ni beki mzuri Sana
Neema juma
Bora asiondoke watamkosa mchezaji makini abaki
Latifa juma mohamed
Itakuwa vzr Sana yapasa aongezee bidii
David Pere
Alana ni mchezaji mzuri Sana kwa wakati huu so sioni Kama Kuna ulazima wa kumaliza soka lake pale Baryen maana siku hizi wachezaji wazuri Wana windwa na vilabu vyennye mkwanja mkubwa Kama vile Man U, PSG na nyinginezo
Zuhura omary kindamba
Ni jambo la kupendeza kuona kuwa alaba anathaminiwa na klabu yake
Tahiya
Ni vyema akimaliza muda wake apo
Evaluziga
Itakuwa poa Ila aongeze bidii
warda
Sio Lazima Jamani wasimfosi#Meridianbettz
tumaini
Maoni:nibeki bora sana
Tatu
Akaangalie upepo sehemu nyingine
Fatina mfingi
Asanteh kwa taarifa meridian
JULIANA
Asante kwataharifa
Magdalena
Asaini tu huo mkataba amalize muda wake apoapo
Mwanahamisi
Cha msingi aongeze bidii
Zeiyana
Hitakua vizuri kwa upande wenu lakini hayo ni maamuzi yao na maslayi yao mwenyew kubaki hau kuondoka
Angelina
Amalize tu soka lake hapo hapo ni beki mahiri sana
isha
Ni beki mahili sana napia namkubali sana
felister
David amekuwa ni mchezaji pekee hapo kilabuni
Lydia Emmanuel Magoti
Sio lazima wasimfosi
Rehema
Itakuwa vizuri aongeze juudi
Johnmary joel
Ni vizuri akabadilisha klabu nyingine ilikujua city vingine zaidi#meridianbett
Hope mwaikuka
Itapendeza
Ernest
Itakuwa pouwa sana
fatumakasom
Fundi huyo safii sana
Mwajuma
Itakuwa uwamuzi mzuri sana maana nimchezaji tegemezi kwa baryen
Flomena
David amekuwa ni mchezaji wa kipekee hapa klabuni, sio tuu uwanjani bali amekuwa ni mzuri kwetu sisi mashabiki zake
Asia Abdy
Inapendeza
Ester jackson
Mchezaji mzuri sana akiwa na mpira
Genia Sikaluzwe
Ni beki mzuri ni Bora akabaki
Leonard
Vizuri kubaki bayern
Gabriel
Nice update 👍
tumaini
Maoni:meridian mko vizuri kwa taarifa